Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Huu ni uzushi na uongo wa hali ya juu kwa watu wana read between the lines lakini Mashabiki oya oya wanameza kama ilivyo na wakiimeza wa naenda kuanzisha ligi mitaani. Habari yako ni ya uongo na aliyekupa hii habari kakuchanganya tu. Na wewe kwa sababu ni Yanga umekuja kuileta humu ili kujifurahisha na watu wasio kuwa na kuelewa mpana wa kudadavua na kuchambua mambo
Sawa.
 
Watanzania kwa ujuaji? Hapo unaongelea story za vijiweni dhidi ya story halisi. Kutokukamilika kwa mchakato kampuni sio moja ya sababu.
Wanatakiwa wawekezaji watatu katika asilimia 49 na sio mmoja kama ingekua ni mmoja mchakato ungeshaisha
Kuna mambo mengi sana hujui yaani wewe bendera fuata upepo nimeshangaa sana na hili hulijui

Hata akija bakharesa katiba ya simba inasema wanatakiwa wawe wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo bado mchakato utakua mgumu
 
Sasa Mkuu hoja yako ni ipi? Mchakato umeshindwa kukamilika sababu ya kampuni feki za Mo au walihitajika wawekezaji watatu?
 
Ninazo habari nyingine kubwa nne ikiwemo inayomuhusu boss wa TFF moja kwa moja basi tu nakosa muda wa kuandika.

Chanzo nyeti ninacho Mkuu. Lols
Chanzo nyeti.. sema Tu wabongo hua hawakuelewi hadi take kutokea ndo wanarudi kufukua makaburi ili kutoa credit...
Binafsi sina Shaka na chanzo chako... Hasa nikikumbuka Ile habari ukiandika raia wakabisha ila uliwaambia chanzo chako ni nyeti kiasi Kwamba wakikuambia kesho unakufa utaanza kufanya sala ya toba . [emoji16]
Na mwisho wa siku yakaja kutimia.. ngoja tusubiri na hili
 
Sasa Mkuu hoja yako ni ipi? Mchakato umeshindwa kukamilika sababu ya kampuni feki za Mo au walihitajika wawekezaji watatu?
Mo alipeleka kampuni mbili ikajulikana zinasimamiwa na kumilikiwa na ndugu zake akakataliwa mbona liko wazi

Hata mashabiki wengi wa simba hawajui hiki kitu yaan walipitisha katiba kama mazuzu
Hata akija bakharesa wanatakiwa wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo tabu ipo pale pale
 
Kwahiyo haya unayajuwa peke yako tu?
Katiba hazifanyiwagi amendment?
 
Kwahiyo haya unayajuwa peke yako tu?
Katiba hazifanyiwagi amendment?
Wewe hata katiba ya simba huijui na hujawah kuisoma na mashabiki wengi wa simba katiba yenu hamuijui mliyoipitisha mwaka 2018 ambao katika wajumbe 1000 walikataa watatu

Nikuulize swali kwanini mchakato wa uwekezaji mpaka sahivi hujakamilika
 
Nafahamu hilo Mkuu, ila hapa kwetu tunajuana hakuna linaloshindikana.
Anaweza kuonekana mmiliki mwingine kwenye makaratasi ila kiuhalisia ni SSB.
Umeambiwa Sheria ya FIFA unasema hapa kwetu , katika michezo hakuna wa kuitunishia FIFA ,
 
Chanzo nyeti.. sema Tu wabongo hua hawakuelewi hadi take kutokea ndo wanarudi kufukua makaburi ili kutoa credit...
Binafsi sina Shaka na chanzo chako... Hasa nikikumbuka Ile habari ukiandika raia wakabisha ila uliwaambia chanzo chako ni nyeti kiasi Kwamba wakikuambia kesho unakufa utaanza kufanya sala ya toba . [emoji16]
Na mwisho wa siku yakaja kutimia.. ngoja tusubiri na hili
Nashukuru Mkuu.
 
Mo alipeleka kampuni mbili ikajulikana zinasimamiwa na kumilikiwa na ndugu zake akakataliwa mbona liko wazi

Hata mashabiki wengi wa simba hawajui hiki kitu yaan walipitisha katiba kama mazuzu
Hata akija bakharesa wanatakiwa wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo tabu ipo pale pale
Hebu ngoja tuone huo mchakato mpya itakuwaje, ila ni kama Mo akishindwa hii vita niliyowaletea habari yake.
Akishinda amejipanga kuuzuia.
 
Back
Top Bottom