Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama hii taarifa ni ya kweli basi Simba hata sare hawawezi kupata, mechi ya derby ni lazima wote muwe kitu kimoja.Sio nia pekee Mkuu, mipango thabiti imeshasukwa na wamefikia pazuri.
Hii vita yenu inatunufaisha sisi, team Try Again wanataka Yanga washinde ili wampoteze Mo kabisa huku Mo nae anataka Simba ishinde ili awapoteze Try Again na genge lake.
Sio mchezo!
Ukituliza akili maswali yanaongezeka, Try again amewekwa na Mo Dewji, kama anamuhujumu si anamtimuwa Tu over night?Kinadharia, try tena anamuwakilisha Mo kwenye Board na Magungu anawakilisha wanachama so unataka utuambue jaribu tena anataka chukua hisa za MOOO ili amuuzie SSB.?? Juris ignoncia non execusanri
Nakuhakikishia, taarifa ni za kweli 100%Kama hii taarifa ni ya kweli basi Simba hata sare hawawezi kupata, mechi ya derby ni lazima wote muwe kitu kimoja.
Ndio maana nimeona yule Albino ameanza kutamba Simba wakiambulia hata Sare wachinje ngamia.
Narudia kama hizi ni taarifa za kweli basi subiri kushuhudia bakora baada ya mechi ya tarehe 20.
Mo sio mjinga, Try Again ana ‘nguvu’ kubwa nyuma yake.Ukituliza akili maswali yanaongezeka, Try again amewekwa na Mo Dewji, kama anamuhujumu si anamtimuwa Tu over night?
Why anamuacha na Kwa maslahi ya Nani?
Mimi naelewa kuliko unavyoelewa wewe, Simba na Yanga ni timu za serikali, kama wenye timu hawamtaki tena Mo Dewji anaondoka bila shida.Mo sio mjinga, Try Again ana ‘nguvu’ kubwa nyuma yake.
Ukiona mpaka anahaha kwa kuleta siasa kwenye mechi ujue hali ni mbaya kwake.
Kuna kitu cha msingi sana mnashindwa kukizingatia, haya yote yameletwa na agizo la serikali la kuanza upya kwa mchakato wa uwekezaji Simba.
Hatari sana hii,Hao mabwana wamefikia pabaya sana, mpaka wanahujumu timu ili mmojawapo aonekane kushindwa!
Nifah kama nifah. Hilo la kujipanga Simba ishinde Jumamosi unawezekana ndio hilo wanalosema wachambuzi wetu kuwa wamehonga wachezaji wa Yanga wacheze chini ya Kiwango ili Simba ishinde na arudishe mioyo ya mashabiki wa Simba.Nakuhakikishia, taarifa ni za kweli 100%
Tusubiri matokeo yataleta nini Msimbazi.
Mwarabu yuleKumbe GSM ni Mchina?
Naam, Kanjibai kaweka hela ndefu kufanikisha hilo.Nifah kama nifah. Hilo la kujipanga Simba ishinde Jumamosi unawezekana ndio hilo wanalosema wachambuzi wetu kuwa wamehonga wachezaji wa Yanga wacheze chini ya Kiwango ili Simba ishinde na arudishe mioyo ya mashabiki wa Simba.
Kama habari hii ina ukweli simba anaeenda kula hamsa upya kwa sababu yanga watauziwa ramani na simba kuwa tumeloga hivi yanga wanapindua mezaHapana Mkuu, hii sio propaganda ni habari ya ukweli kabisa.
Na huyo mtu ambaye ni chanzo changu ni mwanachama hai wa Simba mwenye access na taarifa za ‘ndani’ huko kwenye klabu yao.
Kwenye hizo pande mbili zinazosigana moja itaisaidia Yanga maana Simba ikishinda wanafungasha virago.Kama habari hii ina ukweli simba anaeenda kula hamsa upya kwa sababu yanga watauziwa ramani na simba kuwa tumeloga hivi yanga wanapindua meza
Simba kufungwa kupo pale pale kwa sababu mategemeo ya ubigwa hayapo so wachezaji wakuwategemea sidhani kama wengi msimu umao wana mpango wa kubaki Simba so rushwa watachukua tu maana Simba ubabaishaji mwingiKwenye hizo pande mbili zinazosigana moja itaisaidia Yanga maana Simba ikishinda wanafungasha virago.
Tatizo Manara alishasema Wenye akili Yanga ni wawiliYani wewe ndio Ziro kabisa, Sandaland yuko pale kwa ajili ya wajinga kama nyie wajanja ndio wametia mpunga.
Kuna boss mkubwa TFF na familia ya GSM, nimekupa taarifa nyeti bure kabisa.
Lakini Mkuu usidharau pia dhamira ya Mo, kumbuka hii michezo anaijua vyema sana.Simba kufungwa kupo pale pale kwa sababu mategemeo ya ubigwa hayapo so wachezaji wakuwategemea sidhani kama wengi msimu umao wana mpango wa kubaki Simba so rushwa watachukua tu maana Simba ubabaishaji mwingi
Hivi unafahamu mzee Kilomoni anatambulika Kama mdhamini wa Simba na ndiye mwenye hati za jengo. Mwigulu kwa nafasi yake yanga Kama anahatarisha maslahi ya yanga inabidi wamwondoe, Kama alitaka kumiliki timu alipaswa ajitoe yanga kwanza.Ila sio wamiliki wa Yanga ni tofauti na
Bakheresa ana miliki azam ni timu yake
Tuonane juma pili asubuhi kwenye supu pale jangwani Mo hawawezi watoto wa mjini GSM yani shabalaa akatae pesa tangu lini na pale ndio njia maize atakuwa anateleza tu na hawawezi muanzishia benchiLakini Mkuu usidharau pia dhamira ya Mo, kumbuka hii michezo anaijua vyema sana.
Sio vyema kuwa na uhakika wa ushindi moja kwa moja.
Nguvu ya Yanga ipo kwa mashabiki na wapenzi wa timu, nguvu ya Simba ipo kwa boss. Miaka michache ya nyuma Yanga ktk dhiki alipambana akabaki top 2, ule upepo angepita Simba angekuwa 4 au 5 huko.Anayeiua Azam ni mwanae, ndio maana kaamua kuiacha.
Ila kama akikabidhiwa SSC Yanga hatutokaa tulale usingizi, itakuwa balaa.