Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Umecopy wapi hii? 😂😂😂
 
Huu ni uzushi na uongo wa hali ya juu kwa watu wana read between the lines lakini Mashabiki oya oya wanameza kama ilivyo na wakiimeza wa naenda kuanzisha ligi mitaani. Habari yako ni ya uongo na aliyekupa hii habari kakuchanganya tu. Na wewe kwa sababu ni Yanga umekuja kuileta humu ili kujifurahisha na watu wasio kuwa na kuelewa mpana wa kudadavua na kuchambua mambo
 
Jaribu Tena ni Chawa Promax wa Mo, Rudi katafiti upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…