Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Kwahiyo hii movie ndio inaishia ishia au ndio kwanza inaanza na upya? Kama Try again atakubali kujiuzulu basi bila shaka kasalimu amri. Kwako mleta uzi vipi unavyoona kuna dalili yoyote ya Salim Mhene kubadilisha jina na kuwa Salim amri?
 
Kwa namna issue ilivyo jaribu tena si maji mara 1 anataka kumwambia energy kuwa haijarishi unamatawi mengi ila maharagwe ya mbeya na mwanza kuiva ni mpka maji x7 hapo naona kabisa mkutano mkuu unaitwa wanakwenda kumsurubu energy!

Vinginevyo utulivu utakuwa haba sana sana!
 
Kwahiyo hii movie ndio inaishia ishia au ndio kwanza inaanza na upya? Kama Try again atakubali kujiuzulu basi bila shaka kasalimu amri. Kwako mleta uzi vipi unavyoona kuna dalili yoyote ya Salim Mhene kubadilisha jina na kuwa Salim amri?
Nachelea kusema chochote hadi nipate taarifa za uhakika.
Kwa sasa tuangalie tu mchezo unavyokwenda.
 
Mtoa mada anapaswa kuzingatiwa, kutiliwa jicho na kulindwa kwa ajili ya habari zijazo. Ni kama sakata ndio kwanza linaanza.
Ila heshima kwa vyanzo vya mtoa post.
 
Hii habari yako haina uhuusiano wala havishabiani na hiki kinachoendelea,
 
Wewe uliniamini moja kwa moja, hukutilia shaka.
Kabisa na bado nakuamini, hali halisi ipo na inaonekana bila kificho, na tukifanya mchezo tutalia na kusaga meno maana viongozi wanajaza matumbo yao tu hawajui uchungu tulio nao washabiki.
 
Asante
 
Tatizo watu wabishi sana Mkuu.
Kipindi cha uchaguzi wao..nilikua timu ushindi wa fulani na moja ya mikakati ni kumkataa mhindi ...ingawa uchaguzi ule timu ile haikushinda ila vita vilikua ndio vinaanza na ushindi ni lzm naona sasa wanaenda kushinda
 
Kwa sasa hivi sijafuatilia kiundani hilo saga, kwa hiyo Muhindi anapigwa chini? Mbona juzi kachachamaa?
 
Simba inadaiwa pesa zote ilizopewa na MO, haina vyanzo vya kulipa na hakuna anayeweza lipa
 
Back
Top Bottom