Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Na kinachomsukuma Msigwa kuwa chadema iligharamia ni nini?? Ni ubinadamu au??
Inasemekana spika alitangaza kwamba mwanaccm ndiye aliyewezesha kupatikana kwa ndege na malipo yake. Ila huyo mwanaccm alifanya kiubinadamu sio kiusiasa na uchama.Ndio maana Msigwa anafafanua.
 
Huyu mzee nimemuelewa..nadhani ana utu sana na katika taarifa yotr sijaona akitamka neno CCM au chadema
Lakini sasa huyu SPIKA yeye povu likamtoka akapaniki akaanza ooh mbona mbunge wa CCM alitoa hela....pyuuuu
Huyu jamaa alitoa kama mtanzania na ndio maana hajinasibu kuwa labda yeye ni CCM au laaa! So why Spika aingize uchama kwenye hili jambo.
 
Mbona mnapotosha kiasi hichi. Dhamani ya Turkey mnaiweka wapi? Wakati ni Jana tu ndio mlipolipa deni hilo. Na kama msingelipa Leo 15/09/2017 Turkey angelipashwa kulipa..
 
Mbona mnapotosha kiasi hichi. Dhamani ya Turkey mnaiweka wapi? Wakati ni Jana tu ndio mlipolipa deni hilo. Na kama msingelipa Leo 15/09/2017 Turkey angelipashwa kulipa..
Dhamani =thamani.
Thamani ya Turky ipo palepale ya kuwa yeye ni zaidi ya binadamu kwani hakuingiza itikadi kwenye shida ile. Na kumbuka katika makubaliano ya malipo hakukuwepo na deadline na pia ile ilikuwa dharura na nyakati zilkuwa usiku mkubwa hakuna bank iliyokuwa wazi. Hata kama ni suala la check walipaji wa cdm wapo dar head office.
 
Kirikuu toka apige mtu fimbo ya kichwa akili imempotea
 
Ulikuwepo? Usiwe Na upande. Ukiweka siasa awatasaidiana tena. Tatizo tunataka kuilaumu serekali Na SK. Kwa minajili ya kisiasa (Like)
 
Yaani mbunge mmoja wa ccm ana aminika kuliko taasisi nzima ya Chadema hii ni balaa kubwa
 
Hivi walimpigia jpm awape ndege akasema haina mafuta? Halimwomba dr.mwinyi awape ndege ya jeshi akasema iko safari?

Haya billi yenyewe kulipwa hadi wasimangwe bungeni walikuwa wameshanza kupotezea,

msigwa kinachomkalisha nairobi ni nini? Lissu hana mke? Hana ndugu wakumhudumia? Sibora dr.mashinji ndio angebaki na mgonjwa kwani ni daktari kitaaluma. Yeye msigwa akaja dar kuratibu albadir manake ndio taaluma yake.

Ifike mahala tutumie busara ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…