Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Safi sana sisi wote ni watanzania, kusaidiana ni jambo jema, tumuepuke mtu yeyote anayetutenganisha
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Usifikiri katika dunia ya sasa waweza kuwa na cash ya 3m muda wote kama walivyozea watu wengi. Pesa zinakuwa bank na issue ya Lisu ilitokea ghafla hivyo ilikuwa ni lazima transaction zifanyike next day. Au online. Lakn kwa Mburula kama wewe huwezi jua mambo haya
 
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?

Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.


Kama wewe ni mwerevu utang'amua kuwa huyo mbunge ametaka kumwaibisha spika kwa kauli yake kuwa aliyelipia ndege ni mbunge wa ccm.
 
muda mwigine huwa namaliza hata miezi mitatu naingia humu kila Siku nasoma na kutoka maana GT km wapo humu muda mwingi mm nawakutaga washalewa [HASHTAG]#kichefuchefu[/HASHTAG]
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Mshamba sana wewe! Kutokuwa na cash 18m kwa wakati ule sio kutokuwa na hela. Fedha za chama zina taratibu zake za kutoka na pengine mbunge huyo wa ccm ana mahusiano mazuri na hiyo kampuni ya ndege ndio akaweka dhamana.
JF sasa hivi imevamiwa nawajinga, wachawi na wenye roho za chuki kama baba yenu na huyo mgogo wa mjengoni
 
Ha! Ha! Mbowe kashawapiga CHADEMA mkwanja, nimeshangaa Mbowe kuwa karibu kumuuguza Lissu kumbe kuna faida anapata. Risiti alizotoa Msigwa zimeandikwa Mbowe badala ya CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…