Salim Kikeke: Ili ufikie Umahiri wa Kina Tido Mhando Lazima Ukwepe Kutumiwa

Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Uandishi wa habari ni kuuliza maswali ambayo watu wanayotaka kusiki, ambayo wangependa kusikia na yale ambayo hukutarajia kusikia

Sasa hukutaka aulize swali hilo aulize nini tena???

Pamoja na kuwa tunafatilia vyombo vya wenzetu huko nje lakini bado tunafumbia macho vingi vinavyoendelea ndani

Unakumbuka Lissu alivyofanyiwa mahojiano katika kipindi cha Hardtalk??

Si ajabu yaoe maswali angeuliza mwandishi wa bongo angeonekana katumwa au katumiwa ilhali ndio uandishi unavyotaka na kitu ambacho kibongo bongo hata Chief Odemba anafanya sana na haonekani kuwa na upande

Tuendelee kupiga kazi
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Tatizo lako unaingiza mapenz binafsi na ukweli. Lazima utaegemea kwenye mapenz binafsi na kumuponda kikeke. Ingawa, Kikeke yupo sahihi. Na amekuwa mwandishi wa BBC kwa muda mrefu. Huyo sio Kitenge.
 
..hata alipokuwa BBC Kikeke alikuwa kuogopa viongozi wa serikali na Ccm.

..Ccm ina mabavu ya kudhuru wananchi. Sio ajabu Watanzania kuiogopa.
 
..waandishi wa habari huwa wanafyata mkia wakiwahoji viongozi wa serikali, na Ccm.
Kikeke alifyata vipi!?..yaani siku zote kikeke awe wa maana ila baada ya kumhoji tundu lissu awe wa hovyo!!..acheni ujinga nyinyi
 
..tangu akiwa BBC Kikeke alikuwa muoga kuwahoji wakuu wa Ccm na serikali.

..Ccm na serikali wana nguvu kubwa dhidi ya Watanzania, ndio maana waandishi wa habari, au jamii kwa ujumla, inawaogopa.

..kuna tofauti kubwa ktk jinsi kiongozi wa upinzani anavyohojiwa, na kiongozi wa Ccm, anavyohojiwa.

..Salim Kikeke hawezi kumkatiza kiongozi wa Ccm au serikali ktk majibu yake kama alivyokuwa akifanya kwa Tundu Lissu.
 
Shida ya watanzania mtu akihoji maswali chokonozi basi wa upande mwingine wanasema anatumiwa. Ingekuwa kamhoji maswali ya kichokonozi makamba hapo angepewa sifa na upande mwingine
Tatizo hilo na Chakaza analo. Ni kati ya watu ambao wana mihemko tu mpuuze
 
Overated by BBC, right!?
Kwanini sasa ha-mantain ile level ya BBC? Kwa nini amerudi Tanzania anafanya mahojiano kwa woga au kutaka kufurahisha serikali? Mimi nilikuwa namkubali sana wakati akiwa BBC lakini baada ya kuja Bongo ameyumba ndiyo maana nasema he is overated kwa sababu angukuwa mzuri ingebidi afanye kama BBC. Wewe nimekupa assignment ya kwenda kusikiliza mahojiano yake na Fatma ndiyo ujue kwa nini namlaumu. Ile siyo kuteleza bali alidhamiria kwa lengo maalum.
 
..tangu akiwa BBC Kikeke alikuwa muoga kuwahoji wakuu wa Ccm na serikali.

..Ccm na serikali wana nguvu kubwa dhidi ya Watanzania, ndio maana waandishi wa habari, au jamii kwa ujumla, inawaogopa.

..kuna tofauti kubwa ktk jinsi kiongozi wa upinzani anavyohojiwa, na kiongozi wa Ccm, anavyohojiwa.

..Salim Kikeke hawezi kumkatiza kiongozi wa Ccm au serikali ktk majibu yake kama alivyokuwa akifanya kwa Tundu Lissu.
Heshima sana mkuu. Wewe ndiye umemsoma vizuri Kikeke. Ni mwandishi mzuru lakini hili la woga kwa viongozi wa CCM lipo dhahiri.
 
Kwanini sasa ha-mantain ile level ya BBC? Kwa nini amerudi Tanzania anafanya mahojiano kwa woga au kutaka kufurahisha serikali? Mimi nilikuwa namkubali sana wakati akiwa BBC lakini baada ya kuja Bongo ameyumba ndiyo maana nasema he is overated kwa sababu angukuwa mzuri ingebidi afanye kama BBC. Wewe nimekupa assignment ya kwenda kusikiliza mahojiano yake na Fatma ndiyo ujue kwa nini namlaumu. Ile siyo kuteleza bali alidhamiria kwa lengo maalum.
Mimi siwezi kuchezea MB zangu kwenda kuhakiki maoni yako,yaani alikua mzuri BBC,ghafla baada ya kumhoji lissu kawa wa hovyo,give me a break bro
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Kikeke ni mwandishi mahiri ndio maana hata wewe umechukia jinsi alivyomuuliza Lissu kwa sababu aliuliza swali ambalo aliyeulizwa angeweza hata kutukana kwa hasira !

Ndivyo walivyo waandishi mahiri !
Kikeke hata alipomhoji Mama Samia kuhusu Katiba mpya, Mama alionekana kukerwa na swali aliloulizwa !

Hivyo ndivyo walivyo waandishi mahiri !
Huwa hawaogopi au kumuonea haya mtu yeyote wanayehojiana nao !

Umeshawahi kufuatilia kipindi cha HARD TALK cha BBC ???
Waheshimiwa huwa wanavuja jasho kwa maswali wanayoulizwa !
Wengine huwa hawakubali kuhojiwa kwa sababu ya kuogopa kuumbuka !!
 
Ni mbinu za interview. Unapigwa swali hili na lile kukuvuruga kuona umakini wako! Katika interview swali la msingi linazaa viswali vingi kama jibu halijitoshelezi. Sioni shida ya Kikeke hapo.🙏🙏🙏
Na ndivyo ilivyo. !
 
Mimi siwezi kuchezea MB zangu kwenda kuhakiki maoni yako,yaani alikua mzuri BBC,ghafla baada ya kumhoji lissu kawa wa hovyo,give me a break bro
Soma kwa ufahamu. Nimesema soma kwa ufahamu. Sikiliza mahojiano yake na Fatma Karume. Siyo Lissu. Huyo mvaa magwanda achana naye! N Fatma Karume.
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Hata Fatma Karume aliwahi kumlalamikia.Inaonekana Kikeke mtu anayemhoji akitoa maelezo yanayoikosoa CCM au Serikali anaingilia ghafla ili mhojiwa asiendelee kutoa maelezo ya namna hiyo.
Akiendelea hivyo atakosa mvuto.
 
Back
Top Bottom