Nimekuelewa, kwa hiyo kushabikia kijinga tu si uchawa, uchawa ni mpaka ushabikie (hata kama si kijinga) kwa kujipanga kupata maslahi fulani, labda pesa, hisani, utwuzi fulani, etc.Kuna ushabiki (huu unaweza hata kuwa wakijinga) Shabiki hatarajii ujira/fidia kutoka kwa kile/yule anaeshabikia. Anaweza kukosa uelewa wa anachoshabikia lakini kwa mapenzi yake akashabikia na pengine hata kutetea upuuzi bila ya kutarajia any form of compensation/gain.
Uchawa ni ile hali ya kuhalalisha upumbavu ambao hata haulalishiki ili tu uonekane bora mbele ya yule unaemhalilishia kwa muktadha wa kutarajia labda utavuna kitu kama fidia/ujira.
Chawa kifasihi ni mdudu mdogo mnyonya damu anaeishi kwenye mwili wa binadamu/mnyama.
Kwa sasa wehu wanaoweka rehani utu wao kwa kusifia hata visivyosifika kwa matumaini ya some sort of monetary/political gain huitwa chawa.
Kwa lugha nyepesi chawa ni mpuuzi aliekuwa radhi kuweka utu wake rehani kwa kusifia/ku support blindly ili tu apate manufaa.
Panapokuwa na matarajio ya kufaidika kwa ku support automatically unatoka kwenye ushabiki na kuwa LICHAWA.
Tufafanulie samia unamsupport vipi kisiasaUnamtenganisha vipi chawa na mtu ambaye ana m support Samia kwa kumkubali kisiasa, kifalsafa, bila uchawa?
Hujajibu swali.
Hujaelewa hoja.Tufafanulie samia unamsupport vipi kisiasa
1. Aliweka dhahiri dhamira yake ya kutaka kuingia kwenye siasa na pengine kugombea ubunge.Tunajuaje Kikeke anapiga kampeni kwa kitafuta pesa ama uteuzi, na si kwa uzalendo (ambao labda unaweza kutofautiana kifalsafa na wengine, lakini bado ukawa uzalendo kwa uelewa wake) au hata ujinga tu?
At this point I am beyond Kikeke.1. Aliweka dhahiri dhamira yake ya kutaka kuingia kwenye siasa na pengine kugombea ubunge.
2. Alishaitaka nafasi ya msemaji wa ikulu ila inasadikika kuliwekwa figusi.
3. A mere glance at his body language anapoongelea hiyo 4x4 you can see it's robotic and scripted, chances are amelipwa kama prominent media personnel kupromote 'cult' ya mama hiki na mama kile.
4. Is it a coincidence kwamba towards uchaguzi mkuu kunakuja 4x4, kwanini haikuwa 2x2 alipotimiza miaka 2. Na hapo hapo kuna upuuzi mwingi mithili ya huu unaendelea ku promote mama, in other words indirect campaigning.
Siongelei nafsi ya mtu, but I know for a fact Kikeke hayupo hapo kama staunch supporter bali chawa kama kina Mwijaku tu. A dignified chawa, while at it.
NotedAt tgis ppint I am beyond Kikeke.
Sipendi uchawa, lakini pia sipendi tabia ya kumuita kirahisi mtu yeyote chawa kwa sababu yupo kwenye upande tofauti na wewe tu.
Inatakiwa sifa ya uchawa iende na distinction fulani kwa kuangalia vigezo muhimu, si ya kupewa kila mtu kirahisirahisi tu.
Wakati ukiwadia hakuna wa kulaumiwa.Almost hakuna Mbongo asiyefika bei. Mara nyingi huwa ni suala la muda tu!
Kuna fani hauwezi kuzitumikia ukishakuwa na uchawa. Muandishi wa Habari hawezi kuwa chawa kisha akafanya kazi yake kwa weledi, ni wazi atawapa mashaka watu.Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?
Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Wana sema "one might great at answering selected number of questions, but he is a dumb when it comes at relating or creating solutions in a certain field.Mkuu,
Division za shule za Tanzania za zamani hazina maana.
Mtu anaweza kuwa kapata division 4 kwa sababu anaumwa macho na hakuwa na miwani tu.
Wewe huoni siku hizi vijana wanavyozipiga 1 kama wanazinunua kwa Wamachinga Kariakoo?
Unafikiri akili na uelewa wetu umeongezeka ghafla hivyo?
Mpime mtu kwa kazi yake, anavyojituma, anavyojiongeza, anavyotumia mantiki, anavyotatua matatizo, hayo mambo ya division za miaka ya tisini kuna watu wamezaliwa familia mbaya tu hawakuwa na nafasi ya kujiandaa vizuri na mitihani.
Ni kweli kabisa ndugu yanguAlmost hakuna Mbongo asiyefika bei. Mara nyingi huwa ni suala la muda tu!
Ilimradi umeungana na wanyonyaji wa wananchi basi unakuwa chawa automaticallyHivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?
Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Sawa.Kuna fani hauwezi kuzitumikia ukishakuwa na uchawa. Muandishi wa Habari hawezi kuwa chawa kisha akafanya kazi yake kwa weledi, ni wazi atawapa mashaka watu.
Leo hii refarii wa soka, akionekana katika picha za video akiinanga timu A, kesho hawezi tena kuchezesha mechi za hiyo timu.
Na wengine tupo Nyuturoo kabisa ! 👍Hayo ni maisha yake na ana haki ya kikatiba kuunga mkono upande wowote wa kisiasa anaoona unafaa kwa upande wake, ndo maana hajakupangia wala kukuita chawa wa upande wako wa siasa unaouona ni sahihi kwahiyo kila mtu akae upande wake ndo demokrasia
Sasa nimeelewa kumbe Uchawa ni kitu gani !Ilimradi umeungana na wanyonyaji wa wananchi basi unakuwa chawa automatically
CCM imechokwa mno bro ndo maana hata iweje jema watu watadissHivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?
Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Yeah, lakini hilo si jibu la swali langu.CCM imechokwa mno bro ndo maana hata iweje jema watu watadiss