PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hoja unayo kabisa, kwamba kushabikia kiongozi wa chama tawala siyo kosa. Sema nini, inaonekana watu wanaoshabikia kijani wengi wapo kimaslahi yaani kuna kitu wamelenga mfano pesa mana wao ndio wameshika mpini!
 
Nadhani kuna kitu ambacho kinatia ukakasi hapa, kusaidia sio kosa ila kosa ni kukufuru na sehemu ambayo mtu anakosea ukishindwa kumwambia ukweki ila unaruhusiwa kuwa shabiki wa timu yoyote ila usiweje mapenzi kwenye ujinga.
 
Salim Kikeke ametatua tatizo Gani...!?
 
Kwan tukizifata Sheria/taratibu za Uchaguzi..kampeni zimeanza Tyr...!?
 
Kama ni rahisi hivyo basi na wewe kawe chawa wa mtu yeyote. Yaani Kikeke ulitaka aendelee kuwa mwajiriwa wa BBC ili kukufurahisha wewe usimuite chawa.

Pumbavu kabisa, ukute unaishi kwa shemeji hata hela ya bando unapewa na shemeji yako.
Kwa hoja hizi..ukiitwa chawa utakataa...!?
 
Chief nakumbuka tulibishana sana kwenye ule uzi wa ay kuhusu mbaga hizi hizi za uchawa. Ingawa utetezi wako ulijikita kwenye kuamini ni haki yao kuchagua chama wanachokipenda lakini nikwambie influence kubwa ya hawa kujiposition na ccm ni fedha! Hakuna cha mapenzi wala kumkubali samia.

Unakuta kwenye hii project kikeke na firm yake wamevuta 100millions kwa io wanaamua kujichetua akili na kujaribu kukiuza chama ambacho hata wao kwenye nafsi zao hawaamini km kinauzika
 
Salim Kikeke ametatua tatizo Gani...!?
Sijamuongelea Kikeke, nimeongelea dhana ya kwamba mtu kapata division 4 hivyo ni mjinga.

Hii ni hoja ya jumla, ya kidhahania, haimhusu ntu mmoja mmoja.

Kikeke anaweza kuwa mjinga aliyepata division 4 ambaye hajatatua tatizo lolote na hoja hiyo bado ikasimama.

Hivyo, swali lako la Kikeke likawa halihusiani na hoja ya kidhahania.

Logical non sequitur fallacy.
 
Kwan tukizifata Sheria/taratibu za Uchaguzi..kampeni zimeanza Tyr...!?
Swali la sheria kuhusu uchaguzi umeanza ama la halijibu lolote kwenye hoja ya nani chawa na nani si chawa.

Kwa sababu, chawa na asiyekuwa chawa wote wanaweza kuanza kampeni kabla ya uchaguzi.

Logical non sequitur fallacy.
 
Wekeni facts basi Kikeke ana hiki na kile muondokane na habari za speculations za "unakuta....".

Hizo speculations hata wewe naweza kukuzushia lolote la uongo tu.
 
Chief nakumbuka tulibishana sana kwenye ule uzi wa ay kuhusu mbaga hizi hizi za uchawa. Ingawa utetezi wako ulijikita kwenye kuamini ni haki yao kuchagua chama wanachokipenda lakini nikwambie influence kubwa ya hawa kujiposition na ccm ni fedha! Hakuna cha mapenzi wala kumkubali samia.

Unakuta kwenye hii project kikeke na firm yake wamevuta 100millions kwa io wanaamua kujichetua akili na kujaribu kukiuza chama ambacho hata wao kwenye nafsi zao hawaamini km kina
Wekeni facts basi Kikeke ana hiki na kile muondokane na habari za speculations za "unakuta....".

Hizo speculations hata wewe naweza kukuzushia lolote la uongo tu.
Waswahili wanasema ' kusoma hujui hata picha huoni,? Picha zinatuonesha hapo kuna zaidi ya wanachojaribu kutuonesha
 
Kiranga bro na hili umepinga?!
 
Facts please. Just facts.
 
Nilisikia ndiye kabla ya Zuhura hapo jumba jeupe ila kuna watu waliopita nyota yake eapoti
 
Nchi hii bila kuwa chawa unaweza potea hata kwako usipakumbuke.

Unapaswa hata ukitembea pekeyako unasema kimoyomoyo "namshukuru mama SSH kwa..." Ili hata ukishtuliwa usingizina ukaulizwa Jina lako nani unaanza kumshukuru Mama SSH, kisha unataja jina lako.

Nchi hii imekuwa ngumu sana, UVCC na UWT wote pale wame park wanasubili kuteuliwa, imagine halafu USIWE CHAWA utaishije mjini.
 
Kwahiyo mtoa mada unataka Kikeke akatae hili jambo la Mama Samia halafu wewe utalisha familia yake?
 
Kikeke na Ay sikuwahi kutegemea kuwa machawa ila ndo wanaongoza Kwak sasa
Hivi matumizi ya neno uchawa yaneleweka na kutumika vizuri kwa jamii yetu?

Kwamfano Washirika wa Marekani,A,B,C wameunga mkono juhudi za kumuekea vikwazo Russia.
Je A,B na C wamegeuka chawa?

Advocate anapomtetea mteja wake mahakamani,je advocate amegeuka chawa wa huyu mteja?

Au walimu wa shule za msingi wa kata ya Matopeni wamepongeza juhudi za serikali za kuwaletea umeme katika shule za kata hiyo.Je walimu wa kata hiyo wamegeuka chawa?
 
Fanya mambo ya Fanya mambo yako acha kuwapangia wenzio cha kufanya.
 
We fanya unachoona kinafaa achana na hao nyumbu, kinachowasumbua ni njaa kwamba wao hiyo fursa wameshindwa kuipata. Njaa husababisha husda, roho mbaya, wivu. Kila kiongozi ana wafuasi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…