Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa.

Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke ) walikuaminisha kuwa Wanammudu Mama na Utateuliwa Wewe hiyo Nafasi matokeo yake Kateuliwa Poti ( Mwana Mkoa wa Mara ) Mwenzangu MM kuwa hapo na Kazi inaendelea.

Pole sana japo najua utaelekea Majizo Media ambako Ulitega kama huku Magogoni na Chamwino ukikosa basi utaungana na Boss Shemeji yetu Elizabeth Michael (alias) Lulu na akina Panjuani Wao pale Mbezi Beach ( White House )
 
Mtoa mada ni " asset " kubwa sana kwa wajanja wa mjini. Hakuna asset kubwa kwa wajanja wa mjini kama uwepo wa washamba, mafala na wajinga jinga. Ukiwa fala mshamba na/au mjinga mjinga basi jua wewe ni asset kubwa sana kwa wajanja...

Hongera mtoa mada. Wewe ni asset kubwa sana.
 
Doh
Hawajakuelewa.

Mimi ninhwrusha ngumi🤣
 
Uchokozi😁
 
Gen
Genta sorry unaonekana una chuki binafsi na Salum Kike sijui alikuchukulia demu wako tafuta pesa Baba Salum hakusu na kitu unapo zidi kumpaka ndio unazidi kumpa umashuhuri toka Salum ni mashuri ,wacha ushamba wako hebu eleza nini kakufanya au kakukosea Salum blaa blaa nyingi unamfuatilia mwanamme mwenzako kama shoga khaa.
 
sasa hio bet ya kikeke hata mimi ningekua rais nisingefanya maana move ilikuwa wazi kabisa..kakwepesha hadi hapo baadae....
 
Sawa Mrs. Kikeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…