Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

Ona sasa ulivyo na majibu ya kisenge kama mtoto wa kike.
Naona kwa namna ya Kipekee kabisa umeamua Kimkakati na Makusudi kabisa kututajia Kazi yako unayoifanya na inakupa Chakula. Hongera....!!
 
Naona kwa namna ya Kipekee kabisa umeamua Kimkakati na Makusudi kabisa kututajia Kazi yako unayoifanya na inakupa Chakula. Hongera....!!

Mpuuzi wewe acha chuki fanya mambo yanayoleta tija kwako nakushauri tuu,
 
Duh wabongo kwahyo kinachokushangaza ni yeye kukaa muda bila kazi mbona hukushangaa miaka aliofanya kazi
Kuna jibu lolote unalitegemea kutoka kwa huyo Juha ( Fool ) baada ya Kumuuliza hivyo na Kumjengea Hoja yako ya Kimantiki ( Logical ) kama hii uliyompa?
 
Taifa lina vijana wa ovyo wengi sana,halafu nimegundua hamna watu wavumilivu kwenye teuzi za serikali kuwazidi waislamu

Wa hovyo ni mtu km ww unaeleta udini ad kwenye teuzi
Kwa mtu yyte mwenye akili awezi leta udini kla sehemu na kwa mtu yyte mwenye akili alijua kabisa salimu hawezi teuliwa saiv kua msemaji sabu itaonekana kbsa aliacha kaz ili aje aajiriww serikalini
Salimu ataajiriwa tu ktk icho kitengo au kitengo kingne kizuri tu ila ni suala la mtu na mda wake bado haujafika
 
Ila Kuna kitu Cha kujifunza,mtu maharufu kufatiliwa lazima, Maisha ya mtu ni ya kwake Ila kutoka BBC kwenda kufanya kazi kwa majizo duu, [emoji17] kunakujisahau ang'ewekeza ang'erudi kusimamia miradi yake.
 
Kuna jibu lolote unalitegemea kutoka kwa huyo Juha ( Fool ) baada ya Kumuuliza hivyo na Kumjengea Hoja yako ya Kimantiki ( Logical ) kama hii uliyompa?
Labda atajibu. Tatizo tunayaingilia maisha ya watu kwa namna sisi tunavyodhani ni sahihi na wakati mwingine hata uwezo hatuna ni kujikomba tuonekane tuko level fulani ambazo ni ndoto kwetu
 
Kwa "kufanya" hivyo "unampigia," free promo bila wewe "kujua" anyway hayo yalikuwa "enzi' za jiwe" msiyempenda "ndo anakula" shavu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Popoma bwana Acha Chuki binafsi,Ni mara nyingi umemuandika Kikeke vibaya
Umeona eeeh ili jamaa fala kauzuu, ukae kwa kutulia mwanamme mzima ooh Salum kikeke sijui hakuchagulia sijui kachuuzwa dume zima mambo ya kisenge senge ww kwenu kinondoni nini?
 
Back
Top Bottom