Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Aisee wabongo bwana!
Nani aliwaambia Salim anataka hiyo nafasi ya kuwa mpiga zumari wa serikali? Mtakua waganga muda si mrefu tuwape vibuyu mtutibu mikosi na dawa za mapenzi.