Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kikeke chawaPopoma bwana Acha Chuki binafsi,Ni mara nyingi umemuandika Kikeke vibaya
Nadhani ni jambo zitosana hili, KIKEKE anajiandaa kuchukua jimbo 2025.Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa.
Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke ) walikuaminisha kuwa Wanammudu Mama na Utateuliwa Wewe hiyo Nafasi matokeo yake Kateuliwa Poti ( Mwana Mkoa wa Mara ) Mwenzangu MM kuwa hapo na Kazi inaendelea.
Pole sana japo najua utaelekea Majizo Media ambako Ulitega kama huku Magogoni na Chamwino ukikosa basi utaungana na Boss Shemeji yetu Elizabeth Michael (alias) Lulu na akina Panjuani Wao pale Mbezi Beach ( White House )
Kafie mbele huko Bwege Nazi Wewe.
Kikeke chawa
Kikeke chawa
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa mada ni " asset " kubwa sana kwa wajanja wa mjini. Hakuna asset kubwa kwa wajanja wa mjini kama uwepo wa washamba, mafala na wajinga jinga. Ukiwa fala mshamba na/au mjinga mjinga basi jua wewe ni asset kubwa sana kwa wajanja...
Hongera mtoa mada. Wewe ni asset kubwa sana.
Ha haa. Salum Kikeke ameingizwa cha kike na wajanja wa town.
Hii ndio Bongo. Haikamatiki kwa michongo.