Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa.

Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke ) walikuaminisha kuwa Wanammudu Mama na Utateuliwa Wewe hiyo Nafasi matokeo yake Kateuliwa Poti ( Mwana Mkoa wa Mara ) Mwenzangu MM kuwa hapo na Kazi inaendelea.

Pole sana japo najua utaelekea Majizo Media ambako Ulitega kama huku Magogoni na Chamwino ukikosa basi utaungana na Boss Shemeji yetu Elizabeth Michael (alias) Lulu na akina Panjuani Wao pale Mbezi Beach ( White House )
Nadhani ni jambo zitosana hili, KIKEKE anajiandaa kuchukua jimbo 2025.
 
Mtoa mada ni " asset " kubwa sana kwa wajanja wa mjini. Hakuna asset kubwa kwa wajanja wa mjini kama uwepo wa washamba, mafala na wajinga jinga. Ukiwa fala mshamba na/au mjinga mjinga basi jua wewe ni asset kubwa sana kwa wajanja...

Hongera mtoa mada. Wewe ni asset kubwa sana.
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ha haa. Salum Kikeke ameingizwa cha kike na wajanja wa town.
Hii ndio Bongo. Haikamatiki kwa michongo.
 
Back
Top Bottom