Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Watu tunapaswa kufahamu kuwa kufanya kazi BBC haina maana unalipwa vizuri sana, na kulipwa vizuri ukiwa London bado hakukufanyi kumudu maisha mazuri London kwa maana gharama za maisha ziko juu sana (karibu mara tano ya maisha ya miji ya Tz), na kumudu maisha vizuri London hakukufanyi kuishi kwa furaha, uhuru na amani. Wapo watu wengi sana wanafanya kazi Marekani na Ulaya, wanatamani wangerudi kuishi Tanzania lakini wanashindwa na kuogopa maana ramani za kupata kazi za uhakika na kipato kizuri hapa Tanzania bado ni ngumu, ramani zikiibuka huwa wanarudi.