Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Bongo kuna vituko sana. Mtu alikuwa msoma habari zisizo na uzito BBC eti akija Bongo apewe ukurugenzi wa shirika la habari la nchi au kituo kikubwa cha habari!

Nilikua natafuta hii comment. Thanks

BBC alikua msomaji tu nothing more to it. Mshahara wa kawaida sana hata yeye alikiri.

Wabongo wanaamini mtu ukiajiriwa BBC huwezi acha kazi hadi ufukuzwe, watu wameacha kazi kwa hiari apple, google, Microsoft ndo sembuse BBC!

Wabongo hawajui kuna partnership kwenye biashara; kama crown TV ya Kiba na Kikeke ni partner ubaya upo wapi?
 
Hivi kwa kufikiri hata kidogo tu...mtu unaweza kuacha kazi BBC?!
Ndio inawezekana, kuna kitu kinaitwa homesick unaweza ingiza pesa nyingi ila ukaishi maisha ya upweke, msongo wa mawazo maana huko nje sio social kama Africa kila mtu na time zake. Hata soccer mara kibao tu wachezaji wa South America wanarudi barani kwao kwa exhaustion ya kuishi nje miaka mingi.

Zaidi ya hapo kuna motives mfano kuanzisha media yake it's easier to capture the market Tanzania kuliko nje ambako competition is tight. Mbona kina Mpango waliacha kazi World Bank? So its possible kama una ambitions personal sio za kifedha tu.
 
Hii itakuwa ana share kubwa tu anatumia Ally Kiba tu kama brand mbona wasafi Kusaga Ruth ana share asilimia 50 so sio kwamba Salim karudi nyuma kafungua biashara yake.
 
Nilikua natafuta hii comment. Thanks

BBC alikua msomaji tu nothing more to it. Mshahara wa kawaida sana hata yeye alikiri.

Wabongo wanaamini mtu ukiajiriwa BBC huwezi acha kazi hadi ufukuzwe, watu wameacha kazi kwa hiari apple, google, Microsoft ndo sembuse BBC!

Wabongo hawajui kuna partnership kwenye biashara; kama crown TV ya Kiba na Kikeke ni partner ubaya upo wapi?
Kama kweli ana share na hio Crown media anastahili pongezi.
 
Kule BBC kuna uwezekano alifukuzwa kazi lakini ameamua kusema uwongo kuwa aliacha kazi mwenyewe. Anyway, wakati utaongea.

Hii crown TV inawezekana ni mali yake ila ameamua kumtumia Ali Kiba kama brand ya biashara. Hata Wasafi FM na TV ni mali ya Kusaga ila ameamua kumtumia Diamond kama brand ya bishara kwa sababu ya umaarufu wake.
Unasemaje diamond anatumika kibiashara na kusaga wakati na yeye ana hisa ya 45% ya Wasafi media na pia ndio founder wa hiyo Wasafi
 
Yule jamaa angeenda ikulu angenata zaidi ya sasa..tofauti na yule zuhura yunus na chalz hilal na barwan muhuza ..utadhani ye ndio mtanzania wa kwanza kufanya kazi bbc..
 
Hii itakuwa ana share kubwa tu anatumia Ally Kiba tu kama brand mbona wasafi Kusaga Ruth ana share asilimia 50 so sio kwamba Salim karudi nyuma kafungua biashara yake.
Hili suala la kusema Diamond na Kiba wanatumika kibiashara mnalitoa wapi mnajua maana ya partnership kwenye biashara mondi ana hisa ya 45% ya partnership ya Wasafi it means pesa itayoingiza Wasafi anapata mgawo wa 45% kama hisa yake ilivyo sasa mkuu hiyo ni pesa ndogo?
 
Maana ya kutumika, ni kwamba umaarufu na majina yao ndio yanatumika kukuza hizo media. Japo wana hisa. Mfano huyo Diamond unajua hizo hisa 45% kazipataje?
 
Hivi kwa kufikiri hata kidogo tu...mtu unaweza kuacha kazi BBC?!

Hapa kulikuwa na kuachishwa kazi ama kustaafu kwa mujibu wa sheria... hayo mawili hapo juu mojawapo lilimkuta salym...

Kuachishwa kazi kwa mtu mwenye hadhi kama yeye... siku zote huitwa MUTUAL AGREEMENT

Ila Kuachishwa kwetu kazi sisi hohehahe kunaitwa TERMINATION!
Ninaamini aliacha, ulaya kunachosha. Nachowauliza waswahili tuna hakika yeye ni mfanyakazi wa kawaida pale?
 
Back
Top Bottom