Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Mbona sio tatizo mkuu as long as analipwa pesa anayoitaka? 50 Cent na udogo wake kumbuka aliwa sign Mobb Deep, sio jambo la kushangaza hata kidogo.

Pia Kikeke ni co founder wa hiyo radio na Tv, angalia bio ya social networks zake ujiridhishe.
Kama naye atakuwa ni co-founder basi ana haki ya kufanya kazi kwenye hiyo radio as atakuwa anahisa nayo
 
Kule BBC kuna uwezekano alifukuzwa kazi lakini ameamua kusema uwongo kuwa aliacha kazi mwenyewe. Anyway, wakati utaongea.

Hii crown TV inawezekana ni mali yake ila ameamua kumtumia Ali Kiba kama brand ya biashara. Hata Wasafi FM na TV ni mali ya Kusaga ila ameamua kumtumia Diamond kama brand ya bishara kwa sababu ya umaarufu wake.
Hapo sawa, nilidhani ameacha kazi kule ili aje aajiriwe na Kiba 🙌
 
Ni mkataba uliisha na hawakuona haja ya kuendelea naye, sio mapumziko ama kuchoka mwenyewe.
Okay

Vyema ameamua kujiongeza kufanya Uwekezaji binafsi, Kuna mdau hapo juu amesema naye ni co-founder wa hiyo Crown media 🙌
 
Nami nahisi ilikuwa hivyo japo Kuna Siasa hapa kati zinasema aliandaliwq kuwa mrithi wa Charles Hilal pale Azam ama kuwa mrithi wa Ayoub Ryoba pale TBC

All in all Kwa exposure yake alipaswa awe anamiliki online tv na blogs huku akiwa amewaajiri Vijana kadhaa

Badala yake unakuja kuajiriwa na Alikiba 🙌
Ni mmiliki wa hiyo crown media.
 
Hivi kwa kufikiri hata kidogo tu...mtu unaweza kuacha kazi BBC?!

Hapa kulikuwa na kuachishwa kazi ama kustaafu kwa mujibu wa sheria... hayo mawili hapo juu mojawapo lilimkuta salym...

Kuachishwa kazi kwa mtu mwenye hadhi kama yeye... siku zote huitwa MUTUAL AGREEMENT

Ila Kuachishwa kwetu kazi sisi hohehahe kunaitwa TERMINATION!
Kikeke aliomba kuondoka BBC kwa hiyari yake na BBC waligoma then baada ya muda wakamruhusu, kwa maelezo yake yeye mwenyewe maisha ya ulaya yalishamchosha
 
Back
Top Bottom