Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Yeah ni kweli

Na huenda alishafanya analysis kuweza kupima Ukubwa wa maamuzi atakayoyafanya

Sisi kama walaji wa habari, tunasubiria kazi nzuri kutoka kwake

We wish him best of luck 🙏🙏

Yes na ktk kufanikiwa unabidi kukubali kuwa starter na sio finisher
 
. .....
 
Attachments

  • IMG_20240429_153354.jpg
    IMG_20240429_153354.jpg
    28.4 KB · Views: 10
Seriously?

Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo 🙌
Infact huyu jamaa aliacha kazi BBC kwa ahadi ya kupata ajira yenye donge nono ila ikashindikana.

Kwa nature ya watangazaji walioacha kazi London, inaelekea Salim naye ilikuwa hivyo hivyo ila akajikuta anakosa bara na visiwani
 
Salama Wakuu?

Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.

Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine mnaionaje Wakuu?

Kwamba aligoma kupokea simu kutoka WACHA FUU FM (Wasafi), KISINGELI FM (EFM) pamoja na ICE CREAM TV (Azam TV) na kupokea simu ya KING (Crown FM) kwa Ali Kiba.

Hawawezi kutangaza ujio wao kwenye media hizo bila diss?

Hii Crown media ni nini mkuu? Ni TV ya online? Inamilikiwa na nani? Kwani huyu jamaa mbona alienda EFM au alikuwa anatest tu mitambo?
 
Infact huyu jamaa aliacha kazi BBC kwa ahadi ya kupata ajira yenye donge nono ila ikashindikana.

Kwa nature ya watangazaji walioacha kazi London, inaelekea Salim naye ilikuwa hivyo hivyo ila akajikuta anakosa bara na visiwani
Aisee, pole yake

Watu hawaachi kazi hadi wapate mbadala wa kazi yenyewe tena yenye maslahi mazuri kuliko awali
 
Seriously?

Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo 🙌
Kule BBC kuna uwezekano alifukuzwa kazi lakini ameamua kusema uwongo kuwa aliacha kazi mwenyewe. Anyway, wakati utaongea.

Hii crown TV inawezekana ni mali yake ila ameamua kumtumia Ali Kiba kama brand ya biashara. Hata Wasafi FM na TV ni mali ya Kusaga ila ameamua kumtumia Diamond kama brand ya bishara kwa sababu ya umaarufu wake.
 
Tuweke maneno ya akiba.. Sidhani kama Kikeke kwa exposure na uelewa wake mkubwa kwenye tasnia ya habari kafanya maamuzi ya kukurupuka. Tatizo wabongo wengi tuna tatizo la kumuongelea mtu kummaliza kudhani kuwa tuna akili kumshinda muhusika.
 
Salama Wakuu?

Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.

Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine mnaionaje Wakuu?

Kwamba aligoma kupokea simu kutoka WACHA FUU FM (Wasafi), KISINGELI FM (EFM) pamoja na ICE CREAM TV (Azam TV) na kupokea simu ya KING (Crown FM) kwa Ali Kiba.

Hawawezi kutangaza ujio wao kwenye media hizo bila diss?

Wewe ni mke wa Kiba?.
 
Tuweke maneno ya akiba.. Sidhani kama Kikeke kwa exposure na uelewa wake mkubwa kwenye tasnia ya habari kafanya maamuzi ya kukurupuka. Tatizo wabongo wengi tuna tatizo la kumuongelea mtu kummaliza kudhani kuwa tuna akili kumshinda muhusika.
Wewe unajua nini kuhusu yeye kuacha/kuachishwa kazi mkuu? Hebu tueleze kinagaubaga tufunge huu mjadala.
 
Nami nahisi ilikuwa hivyo japo Kuna Siasa hapa kati zinasema aliandaliwq kuwa mrithi wa Charles Hilal pale Azam ama kuwa mrithi wa Ayoub Ryoba pale TBC

All in all Kwa exposure yake alipaswa awe anamiliki online tv na blogs huku akiwa amewaajiri Vijana kadhaa

Badala yake unakuja kuajiriwa na Alikiba 🙌
Mbona sio tatizo mkuu as long as analipwa pesa anayoitaka? 50 Cent na udogo wake kumbuka aliwa sign Mobb Deep, sio jambo la kushangaza hata kidogo.

Pia Kikeke ni co founder wa hiyo radio na Tv, angalia bio ya social networks zake ujiridhishe.
 
Back
Top Bottom