Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Bro, kila chenye mwanzo kina mwisho pia. Alishafanya bbc kwa mrefu. He has nothing to prove.Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Teuzi za bongo unataka stress za bure. Atakuwa mwizi ghafla hata heshima yake aliyojijengea miaka mingi, kwa nguvu na jasho, itapotea.kikeke teuzi kwa mama samia ipo pale pale ila asubiri, na wakati anasubiri atafanya kazi popote ila mda wowote atapewa teuzi serikalini ,zuhura yunus kaishi na kikeke Bbc miaka mingi ,leo hii mwenzake ndio yupo karibu na mama unafikiri kikeke akose kazi kweli
Ila mganga wa Ayubu sio poaJamaa walimdanganya atapewa TBC Ayoub akakomaa hatoki mtu hapa.
Jamaa anaboronga lakini wapiIla mganga wa Ayubu sio poa
Umesema sahihi MkuuBro, kila chenye mwanzo kina mwisho pia. Alishafanya bbc kwa mrefu. He has nothing to prove.
In fact Mimi nampongeza sana. Ametoka BBC akiwa at the pick of his career.
Kwa nchi yetu, tunahitaji ushindani wa kweli, ambapo mnufaika mkuu ni mlaji.
Ni vizuri amsaidie Kiba aweke ushindani kwenye media zetu.
Kila lenye heri braza Salim kwenye huu ukurasa mpya.
Mtafute Aidan meneja wa kiba au Benedict mtu wao wa digital kama upo vizuri watakusaidia.Hivi nikitaka kuomba kazi crown tv/radio naonana na nani?mwenye uelewa anisaidie, nahitaji kujaribu bahati yangu, mm ni mtangazaji na Nilishawahu kufanya kazi kwenye media kubwa TU hapa Tanzania,.
Mwenye uelewa anisaidie tafadhali. Au mwenye contact za Salim kikeke anisaidie nimtumie demo zangu please.