Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

ila salim alikuwa good boy muda wote huo ameshindwa hata kumnyandua mtoto mzuri huyu daa angekuwa ndugu yangu zero story ingekuwa ingine

Story zenu nyingi za uongo humu mnajitapa mnakula kimasikhara kumbe nyie ndio mnaliwa [emoji275][emoji275][emoji849]
 
Ushauri ndio huo,
Subiri Mlokole mwenzio akuveshe Shela mkafunge Ndoa ya Kanisa ili umfurahishe Mama na Nduguzo,

Hapo una miaka 26 bado hajatokea wa kukushika Mkono umebakiza miaka minne kabla hujabeba begi mwenyewe ukajiozeshe kwa Boda Boda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe una maneno
 

Tutaangalia
 
Endelea kubaki vivyo hivo, ukifikisha 30+ Utajiopolea lizee lako konki kabisa tena huto chagua tena boya wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…