Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

ila salim alikuwa good boy muda wote huo ameshindwa hata kumnyandua mtoto mzuri huyu daa angekuwa ndugu yangu zero story ingekuwa ingine

Story zenu nyingi za uongo humu mnajitapa mnakula kimasikhara kumbe nyie ndio mnaliwa [emoji275][emoji275][emoji849]
 
Ushauri ndio huo,
Subiri Mlokole mwenzio akuveshe Shela mkafunge Ndoa ya Kanisa ili umfurahishe Mama na Nduguzo,

Hapo una miaka 26 bado hajatokea wa kukushika Mkono umebakiza miaka minne kabla hujabeba begi mwenyewe ukajiozeshe kwa Boda Boda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe una maneno
 
Kama bado hujampa tunda, basi hapo bado hujajua tabia halisi ya Salim dada. Nenda kampe tunda kwanza ndipo uje uisifiye tabia nzuri ya Salim hiyo unayomsifia wewe. Salim bado hajala na ndo mana amerudi.

Uke wenza kama una uvumilivu basi nenda lakini kama uvumilivu wako no Mdogo acha, tafuta mtu wa dini yako mfunge ndoa, muache Mume wa wa2 na kata mawasiliano naye kabisa.

Tutaangalia
 
Endelea kubaki vivyo hivo, ukifikisha 30+ Utajiopolea lizee lako konki kabisa tena huto chagua tena boya wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom