mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #301
Subiri ufike 31 utatafuta mume wa kuwa mke wa tatu
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri ufike 31 utatafuta mume wa kuwa mke wa tatu
ila salim alikuwa good boy muda wote huo ameshindwa hata kumnyandua mtoto mzuri huyu daa angekuwa ndugu yangu zero story ingekuwa ingine
Huwajui wanaume wewe [emoji23] [emoji23]
Nikushauri nini na teyari ujawa teyari kuolewa.
Mpe nyama tu uridhishe nafsi yako
Ushauri ndio huo,
Subiri Mlokole mwenzio akuveshe Shela mkafunge Ndoa ya Kanisa ili umfurahishe Mama na Nduguzo,
Hapo una miaka 26 bado hajatokea wa kukushika Mkono umebakiza miaka minne kabla hujabeba begi mwenyewe ukajiozeshe kwa Boda Boda.
Kama bado hujampa tunda, basi hapo bado hujajua tabia halisi ya Salim dada. Nenda kampe tunda kwanza ndipo uje uisifiye tabia nzuri ya Salim hiyo unayomsifia wewe. Salim bado hajala na ndo mana amerudi.
Uke wenza kama una uvumilivu basi nenda lakini kama uvumilivu wako no Mdogo acha, tafuta mtu wa dini yako mfunge ndoa, muache Mume wa wa2 na kata mawasiliano naye kabisa.
Ni kweli hasa kudanganywa na binti kigoli kama wewe nainjoy sana, njoo PM unidanganye vizuri mamaUnaonekana unapenda sna uongo
Kudanganywa unapenda sana
Dah😂😂😂😂😂ukewenza mgumu Sana.Joannah umeolewa? Kama bado naomba uwe mke mdogo...[emoji1787] mwandiko wako unavutia[emoji28]
Na ndio Lengo haswa la Salim.... Mwanaume ukishamkataa mwanzo wanakuwaga na visasiNikushauri nini na teyari ujawa teyari kuolewa.
Mpe nyama tu uridhishe nafsi yako
Ni kweli hasa kudanganywa na binti kigoli kama wewe nainjoy sana, njoo PM unidanganye vizuri mama
Na ndio Lengo haswa la Salim.... Mwanaume ukishamkataa mwanzo wanakuwaga na visasi
[emoji16][emoji16][emoji16]Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
[emoji16][emoji16][emoji16]Umeshindwa kuolewa mke wa kwanza, unaomba ushauri wa kuolewa mke wa pili?
Hebu acha kutuchora aisee...
Sijakuona bado, I can be a Christian Salim you knowNimekuja
🤣🤣lakini mkuu hujanijibu swali la msingi!!Dah😂😂😂😂😂ukewenza mgumu Sana.