mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #101
Umeacha utoto?
Hebu tuanzie hapo kwanza
Kama umeongezeka vile [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeacha utoto?
Hebu tuanzie hapo kwanza
Usijali ukifika 32 utaacha😅Kama umeongezeka vile [emoji23][emoji23]
Mara mia michepuko but mke nitajulikana mmoja
Usijali ukifika 32 utaacha[emoji28]
We kijana umenichekesha mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
Miaka 26 ni binti mdogo kuolewa mke wa pili? Kwa mwanamke hiyo ni miaka mingi sana ngoja afike 30 ndo atajua hajui.M N A T A M A N I A N A
Acheni NyEge,,,, nenda mpekee mzigo then baada ya hapo ndio fanyeni discussion ya ndoa...
Kama hajawai kula mbunye basi lengo lake sasa ni hilo,,,mpe achakate then baada ya hapo utamjua The Real Salim,..maamuzi atayofanya baada ya hapo ndio yatakuwa sahihi zaidi.....kingine Jipe muda usiharakie NDOA kiasi hiko,,,utarudi hapa unalia lia...
...miaka 26 ni Binti mdogo sana kuolewa Mke wa pili.... Hujakomaa kiakili bado....HUJAKUA...
Sikulazimishi,,, ila ikikupendeza zingatia haya,,
Humpendi huyo kakaNipe ushaurii achaaa kuongea hivo
Ogopa Sana mwanamke aliyeumizwa kwenye Mapenzi...huwaga wanakuwa hivi
Bora umngoje mume wa dini yako tu utampata kuwa na subira.
Humpendi huyo kaka
Baini sababu uendelee na issue zingine
Miaka 26 ni binti mdogo kuolewa mke wa pili? Kwa mwanamke hiyo ni miaka mingi sana ngoja afike 30 ndo atajua hajui.
Ataolewa na kibabu cha miaka 60 plus akishafika 30. Hiyo 26 tu bado hawezi kuolewa na kijana wa miaka 30 labda wa kuanzia 35 hadi 50.
Kama ni mpenzi wa kuolewa basi muda wako ni sasa mkuu, ukiwa juu ya 25 basi jua linaelekea kuzama. Utamsaka huyo salim ukute anao watatu tayari [emoji2][emoji2].
Unadelay delay kuolewa ukifika 30, utabadili id uje kutafuta humu.
Kwa hiyo utaolewa bila kumjulisha bimkubwa?Yaani mpk tunavoongea kila mtu yupo mkoa wake Bi mkubwa yupo kivyake Salim yupo mkoa X kikazi na mimi nipo Mkoa X na shughuli zangu
Mwanzo hukuwa na maamuzi sababu ya utoto. Leo tena huna maamuzi, umekuja kuomba ushauri.
Wewe ni mtoto, tulia ukue kwanza. Ukifika zamu ya mke wa tatu utapata maamuzi mazuri.