Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

,
JamiiForums1103654458.jpg
 
Ogopa Sana mwanamke aliyeumizwa kwenye Mapenzi...huwaga wanakuwa hivi
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
We kijana umenichekesha mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo hukuwa na maamuzi sababu ya utoto. Leo tena huna maamuzi, umekuja kuomba ushauri.

Wewe ni mtoto, tulia ukue kwanza. Ukifika zamu ya mke wa tatu utapata maamuzi mazuri.
 
M N A T A M A N I A N A
Acheni NyEge,,,, nenda mpekee mzigo then baada ya hapo ndio fanyeni discussion ya ndoa...

Kama hajawai kula mbunye basi lengo lake sasa ni hilo,,,mpe achakate then baada ya hapo utamjua The Real Salim,..maamuzi atayofanya baada ya hapo ndio yatakuwa sahihi zaidi.....kingine Jipe muda usiharakie NDOA kiasi hiko,,,utarudi hapa unalia lia...

...miaka 26 ni Binti mdogo sana kuolewa Mke wa pili.... Hujakomaa kiakili bado....HUJAKUA...

Sikulazimishi,,, ila ikikupendeza zingatia haya,,
Miaka 26 ni binti mdogo kuolewa mke wa pili? Kwa mwanamke hiyo ni miaka mingi sana ngoja afike 30 ndo atajua hajui.

Ataolewa na kibabu cha miaka 60 plus akishafika 30. Hiyo 26 tu bado hawezi kuolewa na kijana wa miaka 30 labda wa kuanzia 35 hadi 50.
 
Bora umngoje mume wa dini yako tu utampata kuwa na subira.
 
Kama ni mpenzi wa kuolewa basi muda wako ni sasa mkuu, ukiwa juu ya 25 basi jua linaelekea kuzama. Utamsaka huyo salim ukute anao watatu tayari 😃😃.

Unadelay delay kuolewa ukifika 30, utabadili id uje kutafuta humu.
 
Miaka 26 ni binti mdogo kuolewa mke wa pili? Kwa mwanamke hiyo ni miaka mingi sana ngoja afike 30 ndo atajua hajui.

Ataolewa na kibabu cha miaka 60 plus akishafika 30. Hiyo 26 tu bado hawezi kuolewa na kijana wa miaka 30 labda wa kuanzia 35 hadi 50.

[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Kama ni mpenzi wa kuolewa basi muda wako ni sasa mkuu, ukiwa juu ya 25 basi jua linaelekea kuzama. Utamsaka huyo salim ukute anao watatu tayari [emoji2][emoji2].

Unadelay delay kuolewa ukifika 30, utabadili id uje kutafuta humu.

Kwaiyo ushaurii wako ni upi niolewe na Salim mke mdogo au nisubiri kuwa bi mkubwa [emoji4]
 
Mwanzo hukuwa na maamuzi sababu ya utoto. Leo tena huna maamuzi, umekuja kuomba ushauri.

Wewe ni mtoto, tulia ukue kwanza. Ukifika zamu ya mke wa tatu utapata maamuzi mazuri.

Usiseme hivo,,,

Kuomba ushaurii haina maana kwamba mimi ni Mtoto
Nimeomba kwasababu yamenikaba na nimeona nipate mawazo ya watu mbali mbali
Suala la kuolewa tena mke wa pili ni kubwa sana haswa ukizingatia mimi sio wa dini hiyo

Umri wangu sasa unaruhusu kuwa mke wa mtu
Lakini katika umri huu tena nakutana na hii changamoto unajua ni kwa namna gani navyochanganyikiwa

Na ukiangalia vigezo alivyonavyo mimi ndivyo ninavyovitamani kizuizi kikubwa ni dini,,

Sasa usiniseme hivo jamani nipe ushaurii utakao nifaa

Maana nipo njiapanda kama nataka kama sitaki
 
Back
Top Bottom