Sallam Sk amuepushia shari Ruge baada ya Kusaga kuingilia kati. Asema 'Tumekataa kuwa kaa''

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mtakumbuka siku ya leo, Meneja wa Diamond ametokwa na mapovu balaa akimshambulia mtu ambaye alikuwa hamtaji jina, badae akaahidi kusema ukweli kama alivyoandika hapa => Meneja wa wcb sallam sk atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

Pia soma => Povu la Sallam wa WCB Kwa Watu Wasiojulikana!!

Sasa basi, Sallam SK ameamua kubaki kimya baada ya Joseph Kusaga kumuombea msamaha mtesi wa wasanii ambaye ni Ruge Mutahaba. Pia ametahadharisha kuwa hawawezi kuwa kaa [HASHTAG]#TumekataaKuwaKaa[/HASHTAG]

Sallam SK ameyaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram,

Nanukuu

'Kwa Heshima ya Joe Kusaga kukuombea msamaha kwa leo Bw Ruge Mutahaba naamua kukusitiri, ila ukiendelea kuyafanya ambayo unayafanya basi nitayaanika maovu yako yote unayoyafanya kwenye Industry ya muziki. WCB haina tatizo na media yoyote na wala haina tatizo na Clouds Media Group ila huyu Ruge Mutahaba ndio mwenye tatizo [HASHTAG]#TumekataaKuwaKa[/HASHTAG]''
 
Acha kuwa mpumbavu mkuu..

Kwani kuna tofauti gani kati ya Ruge na Kusaga kwenye maslahi.??

Na kama Ruge ndiyo anawanyonya WCB anatumia chombo gani kama sio CLOUDS MEDIA GROUP.?

Sallam aache tabia zake za kishoga kuropoka ovyo,kiufupi hamuwezi Ruge kwenye master planning..

Jide,Rubby,Sugu wote waliwahi kupiga hizi kelele baadae wote wakaandika barua ya kuomba nyimbo zao zipigwe tena..

Sie yetu macho..
 
a375e49ee0de8604f971a0ad2f73b77e.jpg
 
Now you are talking about Diamond Platnumz...
Diamond Platnumz..!
 
Kwa yule Meneja mswahili.?

Ukitaka kujua wale mameneja wanampeleka shimoni, ebu fuatilia wimbo wa Diamond na Rick Ross jiulize umefika wapi..

Ndiyo utajua kwamba alipofikia Diamond ilipaswa aachane na Haya matakataka ya uswazi..

Infact am also talking about SUGU a TANZANIAN HIPHOP 'OWNER'...
 
Time never lie bruh...
Let's wait for Diamond Platnumz demise..!
Ahahaaaah..!
 
Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.
 
Kwa yule Meneja mswahili.?

Ukitaka kujua wale mameneja wanampeleka shimoni, ebu fuatilia wimbo wa Diamond na Rick Ross jiulize umefika wapi..

Ndiyo utajua kwamba alipofikia Diamond ilipaswa aachane na Haya matakataka ya uswazi..

Infact am also talking about SUGU a TANZANIAN HIPHOP 'OWNER'...
We nae chefu, kwani wimbo wa wizkid na Drake Umefika wapi? Mpaka uulize wimbo wa Diamond na RickRoss umefika wapi! Kwani wimbo kuwa na msanii mkubwa ni kufika mbali? Hao wenyewe wasanii wa marekani mbona hutoa nyimbo na zinabuma! What's your point here!
 
Somo limeeleweka [emoji23][emoji23][emoji23] "Hatutamnyenyekea mtu yeyote ambaye anataka WCB Wasafi ianguke naona kimeshaeleweka".
 
Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.
Ulivyoongea kama unaweza kuimba hata wimbo wa taifa vile tofauti ya ruge ni mwajiliwa kusaga ni boss wake vielewe vitu kwa upana wake
 
Acha kuwa mpumbavu mkuu..

Kwani kuna tofauti gani kati ya Ruge na Kusaga kwenye maslahi.??

Na kama Ruge ndiyo anawanyonya WCB anatumia chombo gani kama sio CLOUDS MEDIA GROUP.?

Sallam aache tabia zake za kishoga kuropoka ovyo,kiufupi hamuwezi Ruge kwenye master planning..

Jide,Rubby,Sugu wote waliwahi kupiga hizi kelele baadae wote wakaandika barua ya kuomba nyimbo zao zipigwe tena..

Sie yetu macho..

acha uongo jide na sugu lini walishaandika barua ya kuomba msamaha clouds....so far ni mapacha,ruby na mwanafa ndyo walioomba msanaha clouds sugu na jide kamwe hawajawahi kumuomba msamaha clouds
 
Huyu jamaa nae ana matatzo hata kama unasaidia kuwatoa watu kimziki si uwanyanyase bhana ina wote wanaomlalamikia wana makosa kweli
 
Ulivyoongea kama unaweza kuimba hata wimbo wa taifa vile tofauti ya ruge ni mwajiliwa kusaga ni boss wake vielewe vitu kwa upana wake

Nimekuelewesha ila hutaki kuelewa. Afanyacho Ruge, Jo anakikubali.....ukiwa na kampuni yako na kuajiri watu utanielewa.
 
Back
Top Bottom