Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.