Sallam Sk amuepushia shari Ruge baada ya Kusaga kuingilia kati. Asema 'Tumekataa kuwa kaa''

Sallam Sk amuepushia shari Ruge baada ya Kusaga kuingilia kati. Asema 'Tumekataa kuwa kaa''

Nimekuelewesha ila hutaki kuelewa. Afanyacho Ruge, Jo anakikubali.....ukiwa na kampuni yako na kuajiri watu utanielewa.
Kumbuka ile ni group of companies siyo kikampuni kimoja management ya clouds fm inajitegemea na inaweza kufanya maamuzi ni nini kifanyike kikubwa wako ndani ya lengo la CEO ambaye anafuatilia goals and acheievement na si lazima ajue how walifika
 
Clouds ni another level kuna media ngap bongo zimetupa mamilioni kukuza redio zao na kwa nguvu kubwa sana lakini still hawajaifikia ndo mnategemea wasafi itoboe tu from no where ? Mtasubr sana. Inshort hilo bifu bora wakae walimalize maana diamond ndo atakae kuja kuumia mwisho wa siku ..asisahau kua clouds ni kati ya chombo kilichomsaidia kumpush hadi apo alipo
 
Tatizo liko hapa moze ndie anaebuni style za kucheza wbc japo amekosea lkn kumuacha apotee ni kuiumiza wbc tunafanyaje tunasimama nae liwalo na liwe.

Moze akiachwa bila kufanywa chochote shilawadu na heshima ya clouds itashuka kila asiependa kuhojiwa nao atawafanyia alivyofanya moze clouds lzm itoe mfano ili mwingine asifikrie kufanya hivyo bila kujari vizingiti mbele ya clouds ni kizingiti watashughulika nacho no matter what.

Nyuma ya wbc kuna mkuu wa mkoa mwenye kisasi na clouds nafasi yoyote ya kuiumiza ckouds ataitumia vyema, hapo ndipo mange anaingilia ambae hajafurahishwa na mkuu kubaki ofisini pamoja na jitihada zake zote anasubiri nafasi nyingine tena.

Badamu batamwagika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sallam kasanda rasmi,nilikua namcheki anavoingia kwenye mtego wa wahuni hakika wangejuta.
Meneja kaanza kwa mikwara alafu unadanganya kua kwa Kusaga kaingilia kati ina maana kama kweli Ruge anafanya utumbo basi ataendelea nao maana haujasemwa kama yeye alikua anajiamini angeropoka maana wale wehu walikua wanasubiri abonyeze wrong button tu na hakuna rangi wangeacha ona wataishia kuwavimbia EATV tu [emoji23][emoji23] na sinema imeishia hapo saa 1 imekua ya kinyonge kwao,Bravo Diamond amekaa kimya kama hakuna kitu.
 
Kumbuka ile ni group of companies siyo kikampuni kimoja management ya clouds fm inajitegemea na inaweza kufanya maamuzi ni nini kifanyike kikubwa wako ndani ya lengo la CEO ambaye anafuatilia goals and acheievement na si lazima ajue how walifika

Ni kweli uyasemayo ila Ruge na Jo, lao ni moja....wanamtumia tu Ruge. Na kwa kuwa Ruge ni mjanja ajuaye kuwa wanaume wengi wa Dar ni wakosefu wa nguvu za kiume.....anatumia fursa hii kulala na mademu wao na baadhi ya vijana wengine wenye uchu wa kutoka ama kutambulika.
 
Shida ya ruge ana kiburi cha bukoba na anabeba vitu personal anavihamishia clouds

Si kiburi ila anatumia fursa iliyopo. Kumbuka wanaume wengi wa Dar hawana nguvu za kiume, yeye Ruge anawalazimisha wanawake kulala nao ili wapate air time na kusikika bcs anajuwa hawatamkatalia. Pia kuna tetesi anashikashika hata makalio ya vijana wengi wa bongo fleva, wale wajanja wanakataa na kula hasara.
 
Ushahama kwenye mada naona unaongelea kitu ambacho huna ushahidi siwezi kishiriki mkuu ahsante kwa mda wako pia mana aisifiaye mvua kaka na umesema mwenyewe ruge anashika makalio haya bhana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kama tayari mlipatanishwa, kulikuwa hamna haja ya kulileta mitandaoni. Ila ruge amezidi kila mtu anamlalamikia yy, Prof Jay, Juma nature, lady Jay dee, ruby leo diamond, huyu jamaa anatumia redio kama fimbo ya kuwachapia wasanii. Pamoja ya kuwa anasifika ktk maswala ya fursa, lkn upande huu hayupo vizuri na ndio maana mpaka hivi sasa Barnaba pamoja na kuwa na kipaji kikubwa sana, lkn dogo hana maendeleo mziki wake upo palepale.
 
Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.
Itakua haujawahi kuongoza kitu chochote kile kama ulikua huelewei au hujui kina baadhi ya employees hua wanapenda kufanya maamuzi yao binafsi kwa personal interests zao ila chini ya mwamvuli wa furthering the business hivyo kama wewe muajiri hauko smart employee anaweza kukuharibia vitu vingi kwa kisingizio cha kuongeza mapato na kwa njia moja anakandamiza na kuharibu image ya kampuni...
 
Tatizo liko hapa moze ndie anaebuni style za kucheza wbc japo amekosea lkn kumuacha apotee ni kuiumiza wbc tunafanyaje tunasimama nae liwalo na liwe.

Moze akiachwa bila kufanywa chochote shilawadu na heshima ya clouds itashuka kila asiependa kuhojiwa nao atawafanyia alivyofanya moze clouds lzm itoe mfano ili mwingine asifikrie kufanya hivyo bila kujari vizingiti mbele ya clouds ni kizingiti watashughulika nacho no matter what.

Nyuma ya wbc kuna mkuu wa mkoa mwenye kisasi na clouds nafasi yoyote ya kuiumiza ckouds ataitumia vyema, hapo ndipo mange anaingilia ambae hajafurahishwa na mkuu kubaki ofisini pamoja na jitihada zake zote anasubiri nafasi nyingine tena.

Badamu batamwagika.
Hakuna unachokijua,bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji kuna siku utanyea mdomoni kwa kuaongea ongea hovyo bila fact
 
Ruge an matatizo. Clouds yenyewe haina kiki siku hizi. Wamebaki na mashilawadu wao
 
safi mzee baba ruge wafundishe adabu hao watoto, wabaki kuuza karanga tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ruge ni jembe diamond hana shukrani kumbuka Diamond forever alivoiandaa akawa hadi anamsimamia ndipo akatoka kumbuka connection ya kwenda kuimba BBA tatizo mako anampotez dogo
 
Back
Top Bottom