Mwana mwatuma nae aliomba pooo kwa blauzi kwa sababu gani mkuu????
acha uongo jide na sugu lini walishaandika barua ya kuomba msamaha clouds....so far ni mapacha,ruby na mwanafa ndyo walioomba msanaha clouds sugu na jide kamwe hawajawahi kumuomba msamaha clouds