kidudukuntu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 286
- 206
Kumbuka ile ni group of companies siyo kikampuni kimoja management ya clouds fm inajitegemea na inaweza kufanya maamuzi ni nini kifanyike kikubwa wako ndani ya lengo la CEO ambaye anafuatilia goals and acheievement na si lazima ajue how walifikaNimekuelewesha ila hutaki kuelewa. Afanyacho Ruge, Jo anakikubali.....ukiwa na kampuni yako na kuajiri watu utanielewa.
Shida ya ruge ana kiburi cha bukoba na anabeba vitu personal anavihamishia cloudsNimekuelewesha ila hutaki kuelewa. Afanyacho Ruge, Jo anakikubali.....ukiwa na kampuni yako na kuajiri watu utanielewa.
Kumbuka ile ni group of companies siyo kikampuni kimoja management ya clouds fm inajitegemea na inaweza kufanya maamuzi ni nini kifanyike kikubwa wako ndani ya lengo la CEO ambaye anafuatilia goals and acheievement na si lazima ajue how walifika
Shida ya ruge ana kiburi cha bukoba na anabeba vitu personal anavihamishia clouds
Ushahama kwenye mada naona unaongelea kitu ambacho huna ushahidi siwezi kishiriki mkuu ahsante kwa mda wako pia mana aisifiaye mvua kaka na umesema mwenyewe ruge anashika makalio haya bhana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Si kiburi ila anatumia fursa iliyopo. Kumbuka wanaume wengi wa Dar hawana nguvu za kiume, yeye Ruge anawalazimisha wanawake kulala nao ili wapate air time na kusikika bcs anajuwa hawatamkatalia. Pia kuna tetesi anashikashika hata makalio ya vijana wengi wa bongo fleva, wale wajanja wanakataa na kula hasara.
Itakua haujawahi kuongoza kitu chochote kile kama ulikua huelewei au hujui kina baadhi ya employees hua wanapenda kufanya maamuzi yao binafsi kwa personal interests zao ila chini ya mwamvuli wa furthering the business hivyo kama wewe muajiri hauko smart employee anaweza kukuharibia vitu vingi kwa kisingizio cha kuongeza mapato na kwa njia moja anakandamiza na kuharibu image ya kampuni...Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.
Hakuna unachokijua,bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji kuna siku utanyea mdomoni kwa kuaongea ongea hovyo bila factTatizo liko hapa moze ndie anaebuni style za kucheza wbc japo amekosea lkn kumuacha apotee ni kuiumiza wbc tunafanyaje tunasimama nae liwalo na liwe.
Moze akiachwa bila kufanywa chochote shilawadu na heshima ya clouds itashuka kila asiependa kuhojiwa nao atawafanyia alivyofanya moze clouds lzm itoe mfano ili mwingine asifikrie kufanya hivyo bila kujari vizingiti mbele ya clouds ni kizingiti watashughulika nacho no matter what.
Nyuma ya wbc kuna mkuu wa mkoa mwenye kisasi na clouds nafasi yoyote ya kuiumiza ckouds ataitumia vyema, hapo ndipo mange anaingilia ambae hajafurahishwa na mkuu kubaki ofisini pamoja na jitihada zake zote anasubiri nafasi nyingine tena.
Badamu batamwagika.
Sawa Dahuu. .ndo ID yako hii kumbeClouds ndo habari ya mujini, waache wamdanganye mond na hicho kitv chao na kiredio chao cha WCB watapiga nyimbo zao tu. Clouds habar nyingine tena waamuache Ruge wetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawa Dahuu. .ndo ID yako hii kumbe