Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Hahahahhaaaaa yani hata mimi nimemsoma nimeshindwa kumuelewa hayo yote yametoka wapiUshahama kwenye mada naona unaongelea kitu ambacho huna ushahidi siwezi kishiriki mkuu ahsante kwa mda wako pia mana aisifiaye mvua kaka na umesema mwenyewe ruge anashika makalio haya bhana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Jide na sugu waliomba lini msamahaAcha kuwa mpumbavu mkuu..
Kwani kuna tofauti gani kati ya Ruge na Kusaga kwenye maslahi.??
Na kama Ruge ndiyo anawanyonya WCB anatumia chombo gani kama sio CLOUDS MEDIA GROUP.?
Sallam aache tabia zake za kishoga kuropoka ovyo,kiufupi hamuwezi Ruge kwenye master planning..
Jide,Rubby,Sugu wote waliwahi kupiga hizi kelele baadae wote wakaandika barua ya kuomba nyimbo zao zipigwe tena..
Sie yetu macho..
Kwa yule Meneja mswahili.?
Ukitaka kujua wale mameneja wanampeleka shimoni, ebu fuatilia wimbo wa Diamond na Rick Ross jiulize umefika wapi..
Ndiyo utajua kwamba alipofikia DiamondU ilipaswa aachane na Haya matakataka ya uswazi..
Infact am also talking about SUGU a TANZANIAN HIPHOP 'OWNER'...
Jamaa liongo sana hiliJide na sugu waliomba lini msamaha
may b sifaham ila niulize tu hiv clouds media group inamilikiwa na mtu mmoja au ni zaid ya mmoja ambapo kila mtu anahisa zake!?Acha kuwa mpumbavu mkuu..
Kwani kuna tofauti gani kati ya Ruge na Kusaga kwenye maslahi.??
Na kama Ruge ndiyo anawanyonya WCB anatumia chombo gani kama sio CLOUDS MEDIA GROUP.?
Sallam aache tabia zake za kishoga kuropoka ovyo,kiufupi hamuwezi Ruge kwenye master planning..
Jide,Rubby,Sugu wote waliwahi kupiga hizi kelele baadae wote wakaandika barua ya kuomba nyimbo zao zipigwe tena..
Sie yetu macho..
Hope he/she know the spellingsNow you are talking about Diamond Platnumz...
Diamond Platnumz..!
Chinga one inaonekana unafahamu mengi tuhabarishe na cc tujue chanzo cha ugomvi wao ni nn?Hakuna unachokijua,bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji kuna siku utanyea mdomoni kwa kuaongea ongea hovyo bila fact
how dare you kumuita diamond mwanamuziki wa single moja, hebu tuache chuki za kipumbavu zitatuto vibyongo (unakijua?)Haka kajamaa ni shoga nini, mbona hakaeleweki? Yaani wasanii wa bongo fleva na mameneja wao wote ni hali tete dizaini ya wanaume wa Dar. Kusaga na Ruge wana tofauti gani? Nijuavyo mimi ni kwamba Ruge ni mkuu wa vipindi na commercial affairs, Kusaga ndiyo mwenye radio, kwa maana hiyo Ruge anamtafutia Kusaga hela, si ndiyo? Na huyo Ruge anafanya kazi kwa radio ipi kama si Clouds? Kusaga na Ruge ni kitu kimoja tu na usikute kuwa ni Kusaga mwenyewe ndiye anayemtumia Ruge kufanya haya. Hongera Ruge na Kusaga, uweni tu industry yote fake ya bongo fleva...tunataka muziki na wanamuziki wa kweli si hawa wa uchochoroni single moja tu kisha anaiita mwanamuziki, muziki ni kipaji na kazi ya wenyewe si ya hawa wasanii.
Itakua haujawahi kuongoza kitu chochote kile kama ulikua huelewei au hujui kina baadhi ya employees hua wanapenda kufanya maamuzi yao binafsi kwa personal interests zao ila chini ya mwamvuli wa furthering the business hivyo kama wewe muajiri hauko smart employee anaweza kukuharibia vitu vingi kwa kisingizio cha kuongeza mapato na kwa njia moja anakandamiza na kuharibu image ya kampuni...