acha uongo jide na sugu lini walishaandika barua ya kuomba msamaha clouds....so far ni mapacha,ruby na mwanafa ndyo walioomba msanaha clouds sugu na jide kamwe hawajawahi kumuomba msamaha clouds
Jide aliomba msamaha kwa kupitia amri ya mahakama. Aliongea redio X yupo tayari nyimbo zake kupigwa ruge nae akasema tupo tayari kukaa na JD wamalize ishu yaoacha uongo jide na sugu lini walishaandika barua ya kuomba msamaha clouds....so far ni mapacha,ruby na mwanafa ndyo walioomba msanaha clouds sugu na jide kamwe hawajawahi kumuomba msamaha clouds
Chinga one kuna tatizo kwani?Hakuna unachokijua,bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji kuna siku utanyea mdomoni kwa kuaongea ongea hovyo bila fact
Jide aliomba msamaha kwa kupitia amri ya mahakama. Aliongea redio X yupo tayari nyimbo zake kupigwa ruge nae akasema tupo tayari kukaa na JD wamalize ishu yao
Haya yameisha mkuu,sorry kama nimekukwaza kwa ile komenti yangu...Chinga one kuna tatizo kwani?
Nimetoa maoni yangu tu, kama hayafai unatoa yako mazuri tu au unayapuuza tu, vita ya nini?
Fact ninazo, iyobo inasemekana aliwagonga na gari shilawadu ni kosa na ndio chanzo cha ugomvi, kwa hali ya kawaida hutegemei mkuu kuingilia lkn cha ajabu mkuu ndie kamtoa iyobo sero, mkuu ndie mlezi wa wasafi, mkuu amegombana na clouds. Kaangalie post za mange inst.
ndo hivyo...wako obligade kufanya hivyoo..unless wavunje mkataba...kwa hiyo wanatangaza kwa uchungu au furaha