Sallam yupo vizuri Sana.Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mendez naye ni mende kwelikweli....wasitufanye wajinga wakati family ya kusaga ndio inayomiliki na hiyo media yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu...huyo jamaa ana confidence sana...pia jamaa anapinga maswala ya kusindikiza watu mweny utajiri,anasema kweny utajiri twende wote..nasio kusindikizana tu...Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sallam yupo vizuri Sana nimeicheki video nzima anzieni kuitazama kuanzia dk 20 ndo inavitu muhimu.
Hivi mnavyosema jamaa media ni zake..inamaana anamiliki wasafi media kwa 100%? Hata 60 percent haijafika..sasa inakuaje yake?Thats business...wakati wambeya wakiwa wanaweka u team but jamaa anafaidika na ugomvi huo mana inampatia PESA sababu media zote zake hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ivi unajua mke wa kusaga kwao wana pesa na yeye pesa ipo vizur 2 na anaweza kwenda sambambamba na kusaga kusema kuwa n mama wa nyumban 2 umetudanganya sana tena inabid umtake radhiSasa kama.mke wa kusaga ni shareholder wa wasafi media hapo kusaga unamtoa vipi? Maana yule mama wa kingazija ni mama wa nyumbani tu hiyo expossure ya hizo business hana..hapo pesa katoa kusaga na dili kachonga kusaga tu waache kuzingua