Sallam SK,awatolea uvivu clouds media na Kusaga/Wametusamehe kwa kosa gani?

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,517
Reaction score
7,984
Leo Mendez amefanyiwa interview na Dizzim online Tv....hii ni kama response ya Bartender ya juzi kati ya Kusaga na Jonijo...japo pia mambo mengi yamekua discussed ndani kuhusu safari yake kwenye hii game.

Huyu jamaa ana confidence ya kibiashara...full interview iko Dizzim online.

Screenshot_20191216-140847.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha
Mkuu we icheki yote tu... utapata mpaka chanzo cha bif..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sallam yupo vizuri Sana.
 
Yes mkuu...huyo jamaa ana confidence sana...pia jamaa anapinga maswala ya kusindikiza watu mweny utajiri,anasema kweny utajiri twende wote..nasio kusindikizana tu...

Nimependa alivyoonyesha umwamba hasa kwenye connection...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Siwezi kumsimdikiza mtu kwenye utajiri"-Sallam SK

"Got beef with radio if I don't play they show
They don't play my hits, well, I don't give a shit,
so Rap mags try and use my black ass
So advertisers can give 'em more cash for ads"
-Jay Z (99 problems).

Kwa misimamo yake Jay Z leo hii jamaa bilionea,so kila mtu aheshimu biashara ya mwenzio SIMPLE.
 
Nimeiecheki nikiri kuwa jamaa yuko vizuri na nimejifunza kitu toka kwake.
Hakuna kusadiana lete deal tufanye kila mtu ale anachostahili.
Kamchana kusaga kusema amesaidia amesaidia...
Halafu kumbe ni kweli mke wa kusaga na shaholder wa wasafi media kathibitisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama.mke wa kusaga ni shareholder wa wasafi media hapo kusaga unamtoa vipi? Maana yule mama wa kingazija ni mama wa nyumbani tu hiyo expossure ya hizo business hana..hapo pesa katoa kusaga na dili kachonga kusaga tu waache kuzingua
 
Mkuu ivi unajua mke wa kusaga kwao wana pesa na yeye pesa ipo vizur 2 na anaweza kwenda sambambamba na kusaga kusema kuwa n mama wa nyumban 2 umetudanganya sana tena inabid umtake radhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom