Sallam SK,awatolea uvivu clouds media na Kusaga/Wametusamehe kwa kosa gani?

Sallam SK,awatolea uvivu clouds media na Kusaga/Wametusamehe kwa kosa gani?

Sasa wanaosema kusaga ndio anamiliki wasafi ,wanatumia fact gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi wanaamini cha mke ni cha mume na cha mume ni cha mke, pia yule mke wa kusaga katoka familia bora ila yeye hajihusishi na kufanya chochote ni mama wa nyumbani tu so wanahisi kusaga kamtumia tu
 
Kiuhalisia ndiyo lakini technically siyo.
Anayejulikana kwenye makaratasi ni mkewe iwe alitoa ela au hajatoa.
SK inaelekea ni mtu wa strictly business no ushikaji na ndo maana anayemtambua kama mmiliki mwenza ni mke siyo kusaga hata kama kiuhalisia may be kusaga ndiye katoa mkwanja.
Sasa kama.mke wa kusaga ni shareholder wa wasafi media hapo kusaga unamtoa vipi? Maana yule mama wa kingazija ni mama wa nyumbani tu hiyo expossure ya hizo business hana..hapo pesa katoa kusaga na dili kachonga kusaga tu waache kuzingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama.mke wa kusaga ni shareholder wa wasafi media hapo kusaga unamtoa vipi? Maana yule mama wa kingazija ni mama wa nyumbani tu hiyo expossure ya hizo business hana..hapo pesa katoa kusaga na dili kachonga kusaga tu waache kuzingua
Umejuaje?
Wakati wanaandaa mipango ya kuanzisha media ulikuwepo?
Wakati wanaenda kuomba kibali ulikuwepo?
.
Wakati transmissions zinasimikwa ulikuwa unajua?
Wakati kusaga anatoa pesa ulikuwepo?
Acha propaganda bwana be real haya mambo ni madogo ila makubwa!
Salam na Mkubwa Fella pesa ukiambiwa ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media utabisha?
 
joseph1989,[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana ww quote ya Jigga unataka fananisha na huyu mjinga alieishia form 4 huyu ni chawa kwa Domo hiyo quote ingekuwa na mashiko angeongea Domo lakini sio huyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana ww quote ya Jigga unataka fananisha na huyu mjinga alieishia form 4 huyu ni chawa kwa Domo hiyo quote ingekuwa na mashiko angeongea Domo lakini sio huyo.
Wewe vipi!!!! acha kukurupuka,wewe unamwona chawa lakini Mondi anajua impact ya huyo chawa ktk biashara yake ya mziki ,pamoja na 4m4 yake.

Kwa hiyo haina mashiko sababu katoa Jay Z na si DOMO? Je angetoa huyo msanii unayemwita DOMO ingekuwa na mashiko? Hii katoa Jay Z,lkn kupitia mziki wake Diamond anaiishi hii kauli ya Jigga SIMPLE.

So tatizo sio aliyetoa,bali both of them Jigga ameitumia ktk biashara yake ya mziki na Mondi naye kakopi na kuiapply kwenye biashara yake ya mziki,sawa na kusema Jigga kam-inspire Mondi kupitia kauli yake SIMPLE.

"
Got beef with radio if I don't play they show
They don't play my hits, well, I don't give a shit,
so Rap mags try and use my black ass
So advertisers can give 'em more cash for ads"
-Jay Z (99 problems).
 
Back
Top Bottom