1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hapa kuna mihemko,, [emoji23]Shida watu wanavyochukulia as if hakuna mwingine mweny share hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna mihemko,, [emoji23]Shida watu wanavyochukulia as if hakuna mwingine mweny share hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni vyepesi basi jibu maswali yangu!Naona kwa makusudi kabisa unaamua kujiumiza kichwa kwa vitu vyepesi!!
😝😝😝😝😝😝😝😝 pole sana narudia pole sana.babu tale hajawai kua na media ..hiyo dizzim online ni ya huyo salam..
Mkumbushe huyo Clouds hawachezi ngoma za Diamond lakini matangazo ya makampuni mfano Pepsi aliyofanya Diamond wanayacheza mpaka kesho.Wewe vipi!!!! acha kukurupuka,wewe unamwona chawa lakini Mondi anajua impact ya huyo chawa ktk biashara yake ya mziki ,pamoja na 4m4 yake.
Kwa hiyo haina mashiko sababu katoa Jay Z na si DOMO? Je angetoa huyo msanii unayemwita DOMO ingekuwa na mashiko? Hii katoa Jay Z,lkn kupitia mziki wake Diamond anaiishi hii kauli ya Jigga SIMPLE.
So tatizo sio aliyetoa,bali both of them Jigga ameitumia ktk biashara yake ya mziki na Mondi naye kakopi na kuiapply kwenye biashara yake ya mziki,sawa na kusema Jigga kam-inspire Mondi kupitia kauli yake SIMPLE.
"
Got beef with radio if I don't play they show
They don't play my hits, well, I don't give a shit,
so Rap mags try and use my black ass
So advertisers can give 'em more cash for ads"-Jay Z (99 problems).
Both Tale na Sallam
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sallam yupo vizuri Sana nimeicheki video nzima anzieni kuitazama kuanzia dk 20 ndo inavitu muhimu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni vituko bana.Kusaga hana hisa wasafi ila mkewe ana 53%
Ni mendez anamilikikwani dizimm nayo anamiliki kusaga
Unamjua vizuri lakini yule dada?!! Inasemekana Kusaga alisilimu kwa ili kufunga ndoa na yule dada!! Sasa hivi angekuwa ni mama wa nyumbani tu unadhani Joe angekubali kusilimu kwa ajili yake?! Mtu asiye na exposure na biashara unaamini angeibuka tu from nowhere na kuanza kui-manage Prime Time Promotions?!Sasa kama.mke wa kusaga ni shareholder wa wasafi media hapo kusaga unamtoa vipi? Maana yule mama wa kingazija ni mama wa nyumbani tu hiyo expossure ya hizo business hana..hapo pesa katoa kusaga na dili kachonga kusaga tu waache kuzingua
Kwa hiyo ni mama wa barabarani ....Mkuu ivi unajua mke wa kusaga kwao wana pesa na yeye pesa ipo vizur 2 na anaweza kwenda sambambamba na kusaga kusema kuwa n mama wa nyumban 2 umetudanganya sana tena inabid umtake radhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Share ni double adged sword.....TCRA ilishatoa majina ya wamiliki Diamond ana 48% Mke wa kusaga 50% na kuna jamaa mwingine ana 2%
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa umekula maharage ya wapi ..hivi umesoma vizuri nilichoandika..kweli walimu wanakazi sana mashuleni..😝😝😝😝😝😝😝😝 pole sana narudia pole sana.
Usiishi kwa kutegemea udaku utaingizwa chaka hadi ujute.
.
Tale hamiliki chochote Wasafi media na hata kwenye press mbalimbali akiulizwa swali la wasafi media anasema hausiki uulizwe uongozi wa wasafi media, Salam anakuja na kulitolea ufafanuzi.
Dizzim Tv na Fm sio za online tu zinafanya kazi hadi via satellites ila tangia Azam waitoe haijarejeshwa.
.
Next time usikurupuke
Ulisema hivi wewewe jamaa umekula maharage ya wapi ..hivi umesoma vizuri nilichoandika..kweli walimu wanakazi sana mashuleni..
Nikasema hivibabu tale hajawai kua na media ..hiyo dizzim online ni ya huyo salam..
Ambacho hujakielewa kipi? Unabisha Tale hamiliki Dizim mimi nasema anamilikipole sana narudia pole sana.
Usiishi kwa kutegemea udaku utaingizwa chaka hadi ujute.
.
Tale hamiliki chochote Wasafi media na hata kwenye press mbalimbali akiulizwa swali la wasafi media anasema hausiki uulizwe uongozi wa wasafi media, Salam anakuja na kulitolea ufafanuzi.
Dizzim Tv na Fm sio za online tu zinafanya kazi hadi via satellites ila tangia Azam waitoe haijarejeshwa.
.
Next time usikurupuke