Tetesi: Sallam SK kutambulishwa kama Meneja wa Konde Gang Christmas

Kama hiyo story ni ya kweli ni dhahiri beef lao lilikuwa artificial kwa nia ya kumpoteza Kiba kumtoa katika kile kinachoonekana kuwa ndiye mpinzani wa Diamond, wameitengeneza ionekane mpinzani mwenye matashtiti na vimbwanga ili ionekane Kiba kadorora na itakuwa wamefanikiwa kwenye hilo.
NB:Only if hii story ni ya kweli.
Huo wivu wenye hisia dhaifu
 
Akili finyu toka desemba iingie naioja kwa hii comment
 
Una wivu na hisia dhaifu Kwa WCB, Kwa nini usihusishe jembe ni jembe au any kumchomoa sallam WCB?
What the hell have you been smoking lately?
Showbiz industry inaenda na strategies, WCB iko juu siku zote kwa kuwa wanajua kuchanga karata zao especially Diamond personally ni akili kubwa kwenye game ya entertainment.
Si sauti wala mashairi vinavyomfanya artist adumu katika kilele kwani lazima artist awe na strategies sahihi ndiyo maana nikasema kama ni kweli Mendez ataenda kwa Mmakonde basi hiyo ilikuwa ni plan from word go, hapo wivu unatokea wapi.
Kiba alibebwa sana yeah, lakini aliyekuwa anambeba ili wamshushe Diamond ni late Ruge ambaye kwa sasa hayupo hivyo ile mbeleko ilishakatika kitambo naamini kwa sasa anapambana kwa mikakati yake mwenyewe.
When you read a post kabla ya kuwa judgemental hakikisha umeielewa.
Jembe ni Jembe zaidi ya kuwekeza fedha hana kingine anachokijua kwenye game sana sana labda na connections za hapa na pale za kumfikisha artist kwa baadhi ya wanasiasa(alilifanya hilo sana enzi za Jiwe) ili apate michongo ya kiserikali.
 
What the hell have you been smoking lately?
Showbiz industry inaenda na strategies, WCB iko juu siku zote kwa kuwa wanajua kuchanga karata zao especially Diamond personally ni akili kubwa kwenye game ya entertainment.
Si sauti wala mashairi vinavyomfanya artist adumu katika kilele kwani lazima artist awe na strategies sahihi ndiyo maana nikasema kama ni kweli Mendez ataenda kwa Mmakonde basi hiyo ilikuwa ni plan from word go, hapo wivu unatokea wapi.
Kiba alibebwa sana yeah, lakini aliyekuwa anambeba ili wamshushe Diamond ni late Ruge ambaye kwa sasa hayupo hivyo ile mbeleko ilishakatika kitambo naamimi kwa sasa anapambana kwa mikakati yake mwenyewe.
When you read a post kabla ya kuwa judgemental hakikisha umeielewa.
Jembe ni Jembe zaidi ya kuwekeza fedha hana kingine anachokijua kwenye game sana sana labda na connections za hapa na pale za kumfikisha artist kwa baadhi ya wanasiasa(alilifanya hilo sana enzi za Jiwe) ili apate michongo ya kiserikali.
Kila mtu apambane na yake kusaga si yupo awabebe sasa pumbavu zao, Sallam SK aende Kwa mshamba daah ngoja tuone maana mshamba anapiga deki la kuuza meza na tickets za 25
 
Joseph game lilipofika sasa hana awezalo kufanya lolote likaleta impact, chief strategist alikuwa ni late Ruge na amezikwa na maarifa yake.
Clouds wajikite kwenye taarifa za habari na matangazo ya vifo lakini kwenye upande wa entertainment hawana tena mvuto, hawana mtu bright wa mikakati.
 
Back
Top Bottom