Tetesi: Sallam SK kutambulishwa kama Meneja wa Konde Gang Christmas

Kama ni kweli anaejiita sallam sk anaingia konde.

Ni vema akaanza na Jina neno gang sio neno sahihi Sana. Awese kubadili badala ya neno gang aweke konde na kitu kingine.

Gang ni kikundi au genge la wahuni.
View attachment 2450021
Nadhani hiyo konde gang ni unoffical nick name....official inaitwa Konde Music World wide kama sikosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli anaejiita sallam sk anaingia konde.

Ni vema akaanza na Jina neno gang sio neno sahihi Sana. Awese kubadili badala ya neno gang aweke konde na kitu kingine.

Gang ni kikundi au genge la wahuni.
View attachment 2450021
Si neno gang pekee la kubadili hata Konde litoke pia, ni kwa kuwa tu kabila lenyewe halina influence lakini literary ni ukabila huo.
Just imagine ingekuwa ni;
-Haya gang
-Chaga gang
-Nyakyusa gang
-Sukuma gang
Yaani wangekuwa wanashambuliwa sana kisa jina.
 
Kama ni kweli anaejiita sallam sk anaingia konde.

Ni vema akaanza na Jina neno gang sio neno sahihi Sana. Awese kubadili badala ya neno gang aweke konde na kitu kingine.

Gang ni kikundi au genge la wahuni.
View attachment 2450021
Vipi kuhusu hii
IMG_20221218_081112.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds walikua wameteka soko zamani kwakua hakukua na media zenye ushawishi na walikua wanawabania wasanii kibao ila now jamii imeamini media zingine na kaz zinabamba sana clouds labda waeneze ushoga na madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Media zingine kama IPP haswa East Africa TV and radio zilikuwepo ila shida ni social media.
Hata diamond bila social media angekuwa nae ashapotezwa maana alipigwa vita na media zote ila wakati hili linatokea, smartphones na mitandao ndio ilikuwa inakua kwa kasi.. Ikawa ndo pona yake

Kumbuka zamani bila media huwezi kuwa na access na mashabiki wako ambao walikuwa wanalishwa media inachotaka wale na kuwakuza watu inayotaka wakue

ila social media imewaleta wasanii na mashabaki karibu, internet ndo imeleta platform ambayo shabiki ana uwezo wa kuchagua wimbo na wasanii anaowapenda. Ndio maana Diamond kahakikisha machawa na watu wote wenye influence insta wapo karibu yake kiasi kwamba akitoa wimbo leo, ni millions of people wanaiona ndani ya siku moja tu kama youTube vile tu

Ndio maana nkasema kwa sasa Media zinahitaji vichwa kweli kweli kurudisha power yao
 
Nimetoboa mbele ya MKUBWA, TALE, KIPARA na ASAKE WA TANDALE. [emoji2]
 
Media zingine kama IPP haswa East Africa TV and radio zilikuwepo ila shida ni social media.
Hata diamond bila social media angekuwa nae ashapotezwa maana alipigwa vita na media zote ila wakati hili linatokea, smartphones na mitandao ndio ilikuwa inakua kwa kasi.. Ikawa ndo pona yake

Kumbuka zamani bila media huwezi kuwa na access na mashabiki wako ambao walikuwa wanalishwa media inachotaka wale na kuwakuza watu inayotaka wakue

ila social media imewaleta wasanii na mashabaki karibu, internet ndo imeleta platform ambayo shabiki ana uwezo wa kuch hua wimbo na wasanii anaowapenda. Ndio maana Diamond kahakikisha machawa na watu wote wenye influence insta wapo karibu yake kiasi kwamba akitoa wimbo leo, ni millions of people wanaiona ndani ya siku moja tu kama youTube vile tu

Ndio maana nkasema kwa sasa Media zinahitaji vichwa kweli kweli kurudisha power yao
Uko sahihi kabisa, kwani media zilikuwa zinatengeneza mtu ambaye hatakuwa kinyume nao

Angalia vipaji Kama Ruby, young killer,rama Dee hawa wote ni Kama wamekula ban kwani nyimbo zao huwezi zisikia katika media ya clouds

Nadhani sio media tu hata wasanii wanahitaji watu wabunifu na ujuzi mkubwa ili waweze kuwakuza kimataifa.

mfano vipindi vya entertainment Kama refresh Cha wasafi, clouds hawana tena jipya
 
Sana mkuu hao wasanii nao ni kama wana majina lakini kipato ndio mtihani

Na ubaya hawapendi kutumia professionals na hao professional walio vizuri wachache wana time na entertainment industry maana ina mambo mengi

Kiufupi entertainment and media industry inahitaji serious recruiters, yaani watafute vipaji haswa mfano clouds mwaka jana walitafuta watangazaji lakini waliopita ni wale copy and pasting ya waliopo . Na haikupita muda wakaflop, sasa sijui walitegemea nini

Na ukitaka kuona seriousness yake, Kelvin Twissa, one of the best marketers, karudi bongo na kajiwekeza kwenye ngumi tu na impact yake imeonekana kwa ukubwa, akitokea mwingine kwenye entertainment industry tutaongea habari ingine
 
Mi huwa najiuliza hivi ruby na kipaji chote,
yaani amekosa mtu wa kumfikisha main stream kama alivyofanya late ruge??
 
Ruby kila akiachana na management anailipua kwenye media na anatoa siri zote. Unadhani kuna mtu gani yupo tayari kuchukua hiyo risk brother

Angekuwa kama lady jay dee kuwa anaimba na kutunga hapo industry angeiweza ila kutunga hawezi. Kwa hiyo anahitaji kuwa humble kiasi kuliko kutegemea kipaji tu
 
Dah sema akitafutiwa waandishi wazuri Yule ni bonge la hazina
 
Back
Top Bottom