Hawezi kumchukua Sallam sk hiyo ni kikiNi sawa. Konde kwa sasa yupo levels nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kumchukua Sallam sk hiyo ni kikiNi sawa. Konde kwa sasa yupo levels nyingine
Ngoja tuoneHawezi kumchukua Sallam sk hiyo ni kiki
Nchakali yupo pale na Ciza ambaye alitengenezwa na Ruge lakini nachoona clouds inahitaji damu mpya piaJoseph game lilipofika sasa hana awezalo kufanya lolote likaleta impact, chief strategist alikuwa ni late Ruge na amezikwa na maarifa yake.
Clouds wajikite kwenye taarifa za habari na matangazo ya vifo lakini kwenye upande wa entertainment hawana tena mvuto, hawana mtu bright wa mikakati.
Yeah, uko sahihi.Nchakali yupo pale na Ciza ambaye alitengenezwa na Ruge lakini nachoona clouds inahitaji damu mpya pia
maana ni wazi hadi sasa wanaendeleza legacy ya nyuma Ila sio kuja na kitu cha kuweka standard kwenye industry kama kawaida yao
Inshort entertainment industry haijaweza kutengeneza Ruge mwingine au mtu mwenye power, authority, brain and influence
labda tusubiri huko mbeleni pengine yupo lakini hatumuoni
Ya kusema ni mengi kwa kuwa hawa watu (Joseph & Ruge) nawafahamu personally toka utotoni lakini kwa kifupi najua Joseph hii hali haimfurahishi kabisa.Nchakali yupo pale na Ciza ambaye alitengenezwa na Ruge lakini nachoona clouds inahitaji damu mpya pia
maana ni wazi hadi sasa wanaendeleza legacy ya nyuma Ila sio kuja na kitu cha kuweka standard kwenye industry kama kawaida yao
Inshort entertainment industry haijaweza kutengeneza Ruge mwingine au mtu mwenye power, authority, brain and influence
labda tusubiri huko mbeleni pengine yupo lakini hatumuoni
Nimetamani kujua zaidi mkuu maana nishakuwepo kwenye media industry Ila kikubwa nilichokiona ni kuwa,Ya kusema ni mengi kwa kuwa hawa watu (Joseph & Ruge) nawafahamu personally toka utotoni lakini kwa kifupi najua Joseph hii hali haimfurahishi kabisa.
Naunga mkono. Hizi tetes tu za wazee wa kuunga kisa harmo katangaza kutangaza management mpya
Hata mimi sijui. labda ndio hao muda mwingine anajiita Mjaku sijui Mikaju..Ndo nani huyo huko daslamu?
Mwaka 2019 baada ya harmonize kutoka WCB wengi waliamini hiki lakin baada ya kutokea Mambo mengi hapa katikati ikaonekana kweli hakuna kitu kama hicho lakini Kama nikweli Kipara ataenda kwa harmonize kiba wame mpoteza sanaKama hiyo story ni ya kweli ni dhahiri beef lao lilikuwa artificial kwa nia ya kumpoteza Kiba kumtoa katika kile kinachoonekana kuwa ndiye mpinzani wa Diamond, wameitengeneza ionekane mpinzani mwenye matashtiti na vimbwanga ili ionekane Kiba kadorora na itakuwa wamefanikiwa kwenye hilo.
NB:Only if hii story ni ya kweli.
Note:Nimetamani kujua zaidi mkuu maana nishakuwepo kwenye media industry Ila kikubwa nilichokiona ni kuwa,
Mtu ambaye yupo nje ya system ni ngumu kuingia na ninaamini watu wenye kariba ya Ruge ni ngumu kupewa chance sababu hawana haiba au muonekano wa entertainment industry haswa katika Era ya social media
Nadhani industry nzima inahangaika. Imagine IPP hususani EATV haijatoa watu wengine wakubwa kama millard ayo, salama, Carol ndosi, Daniel kidjo, seko shamte,
Hata clouds pia vile vile.. Household names ni zile zile, Wasafi na E fm wao wanaangalia umaarufu na engagements za watu katika social media ili wauze vipindi Ila kwa section flani za watu wanaonekana irrelevant
Kiuhalisia Media industry ipo kwenye shock ya social media na hii haiwezi kuwa solved kwa kutegemea akili zilizozoea monopoly ya content kwa audience na vipaji pekee. Wanahitaji thinkers and strategists more than ever, hopefully wataliona hili
Hii move kujua kama ni kweli mpaka tuione kwa macho ndiyo nitaamini, otherwise it's just somebody using people to create this seeking for stunts.Mwaka 2019 baada ya harmonize kutoka WCB wengi waliamini hiki lakin baada ya kutokea Mambo mengi hapa katikati ikaonekana kweli hakuna kitu kama hicho lakini Kama nikweli Kipara ataenda kwa harmonize kiba wame mpoteza sana
Nakubali brother 🙏🙏🙏Note:
Thinkers and strategists.
----Kuwa genius ni pamoja na kuwa na uwezo wa kufikiri nje ya box.
Whatever the circumstances kama huu ujio wa social media lazima mainstream media houses zijue jinsi ya kufanya hilo liwe ni opportunities mpya zilizojitokeza ili iwe ni advantage kwao na ndiyo narudi kwenye 'key words' za kwenye post yako THINKERS and STRATEGISTS and they're so rare to find.
AiseeeYa kusema ni mengi kwa kuwa hawa watu (Joseph & Ruge) nawafahamu personally toka utotoni lakini kwa kifupi najua Joseph hii hali haimfurahishi kabisa.
Clouds walikua wameteka soko zamani kwakua hakukua na media zenye ushawishi na walikua wanawabania wasanii kibao ila now jamii imeamini media zingine na kaz zinabamba sana clouds labda waeneze ushoga na madawaJoseph game lilipofika sasa hana awezalo kufanya lolote likaleta impact, chief strategist alikuwa ni late Ruge na amezikwa na maarifa yake.
Clouds wajikite kwenye taarifa za habari na matangazo ya vifo lakini kwenye upande wa entertainment hawana tena mvuto, hawana mtu bright wa mikakati.