Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Huo wivu wenye hisia dhaifuKama hiyo story ni ya kweli ni dhahiri beef lao lilikuwa artificial kwa nia ya kumpoteza Kiba kumtoa katika kile kinachoonekana kuwa ndiye mpinzani wa Diamond, wameitengeneza ionekane mpinzani mwenye matashtiti na vimbwanga ili ionekane Kiba kadorora na itakuwa wamefanikiwa kwenye hilo.
NB:Only if hii story ni ya kweli.
Noma sana!Sallam SK hana adui hana rafiki, signing fee yake usipime itakuwa Kalamba bonge la pesa, anasemaga hamsindikizi mtu kwenye utajiri.
Wivu in what sense [emoji848]?Huo wivu wenye hisia dhaifu
Huo wivu wenye hisia dhaifu
Una wivu na hisia dhaifu Kwa WCB, Kwa nini usihusishe jembe ni jembe au any kumchomoa sallam WCB?Wivu in what sense [emoji848]?
Je wivu kwa nani?
Ali Kiba Aishi maisha yake umaarufu wa kubebwa haupo siku hizi lazima utengeneze umaarufu wakoWivu in what sense [emoji848]?
Je wivu kwa nani?
Akili finyu toka desemba iingie naioja kwa hii commentKama hiyo story ni ya kweli ni dhahiri beef lao lilikuwa artificial kwa nia ya kumpoteza Kiba kumtoa katika kile kinachoonekana kuwa ndiye mpinzani wa Diamond, wameitengeneza ionekane mpinzani mwenye matashtiti na vimbwanga ili ionekane Kiba kadorora na itakuwa wamefanikiwa kwenye hilo.
NB:Only if hii story ni ya kweli.
Amesusa toka alivyotoswa safari ya Qatar,sinza pazuri atupe za ndani kabisa
[emoji3][emoji3]Usiseme hapana, kuna watu waliapa kutofirwa ila walijikuta wanafirwa
Teh teh teh!Afadhali km akili imerudi maana ubongo wote ulijaa tako la kajala tu,
Akigeuka,tako,akifocus tako,akiruka tako,akichuchumaa tako ,kushoto tako ,kulia tako,takoo takoo ,takoooooo
Kwani hawezi wameneji wote wawiliHii inawezakana vipi wakati Sallam sk yupo kwa Diamond? Ebu mtoa mada fafanua habari yako vizuri
Na wamefanikiwa.Hawa lengo lao lilikuwa kumpoteza [emoji146] kibamia
Kwa asilimia kubwa.Wameweza?
What the hell have you been smoking lately?Una wivu na hisia dhaifu Kwa WCB, Kwa nini usihusishe jembe ni jembe au any kumchomoa sallam WCB?
Kila mtu apambane na yake kusaga si yupo awabebe sasa pumbavu zao, Sallam SK aende Kwa mshamba daah ngoja tuone maana mshamba anapiga deki la kuuza meza na tickets za 25What the hell have you been smoking lately?
Showbiz industry inaenda na strategies, WCB iko juu siku zote kwa kuwa wanajua kuchanga karata zao especially Diamond personally ni akili kubwa kwenye game ya entertainment.
Si sauti wala mashairi vinavyomfanya artist adumu katika kilele kwani lazima artist awe na strategies sahihi ndiyo maana nikasema kama ni kweli Mendez ataenda kwa Mmakonde basi hiyo ilikuwa ni plan from word go, hapo wivu unatokea wapi.
Kiba alibebwa sana yeah, lakini aliyekuwa anambeba ili wamshushe Diamond ni late Ruge ambaye kwa sasa hayupo hivyo ile mbeleko ilishakatika kitambo naamimi kwa sasa anapambana kwa mikakati yake mwenyewe.
When you read a post kabla ya kuwa judgemental hakikisha umeielewa.
Jembe ni Jembe zaidi ya kuwekeza fedha hana kingine anachokijua kwenye game sana sana labda na connections za hapa na pale za kumfikisha artist kwa baadhi ya wanasiasa(alilifanya hilo sana enzi za Jiwe) ili apate michongo ya kiserikali.
Joseph game lilipofika sasa hana awezalo kufanya lolote likaleta impact, chief strategist alikuwa ni late Ruge na amezikwa na maarifa yake.Kila mtu apambane na yake kusaga si yupo awabebe sasa pumbavu zao, Sallam SK aende Kwa mshamba daah ngoja tuone maana mshamba anapiga deki la kuuza meza na tickets za 25
Hebu soma ulichokiandika kama utakielewa, ni typing error au ni ujinga wa kurithi uliozaliwa nao?Akili finyu toka desemba iingie naioja kwa hii comment