Tetesi: Sallam SK kutambulishwa kama Meneja wa Konde Gang Christmas

Kuna yule Manager wake wa mwanzo LadyNaa vp,...sio kwamba ndiye anayepewa mikoba tena?
 
Nchakali yupo pale na Ciza ambaye alitengenezwa na Ruge lakini nachoona clouds inahitaji damu mpya pia
maana ni wazi hadi sasa wanaendeleza legacy ya nyuma Ila sio kuja na kitu cha kuweka standard kwenye industry kama kawaida yao

Inshort entertainment industry haijaweza kutengeneza Ruge mwingine au mtu mwenye power, authority, brain and influence

labda tusubiri huko mbeleni pengine yupo lakini hatumuoni
 
Yeah, uko sahihi.
 
Ya kusema ni mengi kwa kuwa hawa watu (Joseph & Ruge) nawafahamu personally toka utotoni lakini kwa kifupi najua Joseph hii hali haimfurahishi kabisa.
 
Ya kusema ni mengi kwa kuwa hawa watu (Joseph & Ruge) nawafahamu personally toka utotoni lakini kwa kifupi najua Joseph hii hali haimfurahishi kabisa.
Nimetamani kujua zaidi mkuu maana nishakuwepo kwenye media industry Ila kikubwa nilichokiona ni kuwa,

Mtu ambaye yupo nje ya system ni ngumu kuingia na ninaamini watu wenye kariba ya Ruge ni ngumu kupewa chance sababu hawana haiba au muonekano wa entertainment industry haswa katika Era ya social media

Nadhani industry nzima inahangaika. Imagine IPP hususani EATV haijatoa watu wengine wakubwa kama millard ayo, salama, Carol ndosi, Daniel kidjo, seko shamte,

Hata clouds pia vile vile.. Household names ni zile zile, Wasafi na E fm wao wanaangalia umaarufu na engagements za watu katika social media ili wauze vipindi Ila kwa section flani za watu wanaonekana irrelevant

Kiuhalisia Media industry ipo kwenye shock ya social media na hii haiwezi kuwa solved kwa kutegemea akili zilizozoea monopoly ya content kwa audience na vipaji pekee. Wanahitaji thinkers and strategists more than ever, hopefully wataliona hili
 
Kama ni kweli anaejiita sallam sk anaingia konde.

Ni vema akaanza na Jina neno gang sio neno sahihi Sana. Awese kubadili badala ya neno gang aweke konde na kitu kingine.

Gang ni kikundi au genge la wahuni.
 
Mwaka 2019 baada ya harmonize kutoka WCB wengi waliamini hiki lakin baada ya kutokea Mambo mengi hapa katikati ikaonekana kweli hakuna kitu kama hicho lakini Kama nikweli Kipara ataenda kwa harmonize kiba wame mpoteza sana
 
Note:
Thinkers and strategists.
----Kuwa genius ni pamoja na kuwa na uwezo wa kufikiri nje ya box.
Whatever the circumstances kama huu ujio wa social media lazima mainstream media houses zijue jinsi ya kufanya hilo liwe ni opportunities mpya zilizojitokeza ili iwe ni advantage kwao na ndiyo narudi kwenye 'key words' za kwenye post yako THINKERS and STRATEGISTS and they're so rare to find.
 
Mwaka 2019 baada ya harmonize kutoka WCB wengi waliamini hiki lakin baada ya kutokea Mambo mengi hapa katikati ikaonekana kweli hakuna kitu kama hicho lakini Kama nikweli Kipara ataenda kwa harmonize kiba wame mpoteza sana
Hii move kujua kama ni kweli mpaka tuione kwa macho ndiyo nitaamini, otherwise it's just somebody using people to create this seeking for stunts.
 
Nakubali brother πŸ™πŸ™πŸ™
 
zuchu ndio meneja wa chibu sasa.kijiti kupokezana muache umalaya nyie wasanii
 
Clouds walikua wameteka soko zamani kwakua hakukua na media zenye ushawishi na walikua wanawabania wasanii kibao ila now jamii imeamini media zingine na kaz zinabamba sana clouds labda waeneze ushoga na madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…