Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

Kwa iyo ni bei gani kaingiza
Kama million 265 za kibongo tena inaweza kushuka maana hapo yeye kapiga constant kwamba kila stream ni $0.005 wakati average uwa ni $0.0038 per stream. Huenda alikosea alimaanuisha milion 230 za kibongo kwa hesabu hiyo zinaingia.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
[emoji2305][emoji2305][emoji2305]Watanzania sio wajinga. Sisi sio wa kulishwa uongo!!
 
Label zinawanyonya sana wasanii, nilikwua nasikiliza interview ya T-Pain akieleza jinsi label zinavyo wamiliki wasanii na wanashindwa kujiondoa kwenye mikataba waliyosaini nikashangaa. Yani wakiwekeza ela utailipa mara kumi, mfani wakiwekeza milioni mia utalipa bilion moja. Na kumbe hakuna ela ya maana unayochukua mpaka warudishe walichowekeza. Unakuta msanii wamewekeza dollar milion 4, ile ela inabidi alipe milion 40, basi inamchukua miaka kulipa hiyo pesa na hata akitaka kujichomoa hawezi.
Upo sahihi Sana, ndo Mana nawashanga watu wanaopiga kelele rayvanny anauza Sana digital, japo ni ni kweli lakini kiasi kikubwa kinaenda kwenye label owner
 
Una mlisha maneno, alisema audio ina stream 23m ambayo kwa 1mil stream sawa na dollar 10elfu. Kimahesabu tetema imeingiza dollar 230,000 ambayo kwa hela ya tz ni karibia mil 500. Hiyo bil 230 umesema ww.
 
Una mlisha maneno ,alisema audio ina stream 23m ambayo kwa 1mil stream sawa na dollar 10elfu. Kimahesabu tetema imeingiza dollar 230,000 ambayo kwa hela ya tz ni karibia mil 500.Hiyo bil 230 umesema ww.
Kasikilize vizuri
 
Kasikilize vizuri
Nimesikiliza interview yote tena mida hii hakutaja bil 230, umemlisha maneno. Alisema nyimbo ina stream 23mil na akasema kila 1mil stream ni dola elfu kumi. Akaishia hapo so kama ulipitia hesabu zile za kulima shamba tetema imeingiza dollar 230,000. HAKUSEMA USD B230, so hapo kuna mawili uliskiliza vibaya au uliikimbia hesabu darasa la saba.
 
Kama million 265 za kibongo tena inaweza kushuka maana hapo yeye kapiga constant kwamba kila stream ni $0.005 wakati average uwa ni $0.0038 per stream. Huenda alikosea alimaanuisha milion 230 za kibongo kwa hesabu hiyo zinaingia.
Hii ndiyo ninaweza kuielewa at least.
 
Label zinawanyonya sana wasanii, nilikwua nasikiliza interview ya T-Pain akieleza jinsi label zinavyo wamiliki wasanii na wanashindwa kujiondoa kwenye mikataba waliyosaini nikashangaa. Yani wakiwekeza ela utailipa mara kumi, mfani wakiwekeza milioni mia utalipa bilion moja. Na kumbe hakuna ela ya maana unayochukua mpaka warudishe walichowekeza. Unakuta msanii wamewekeza dollar milion 4, ile ela inabidi alipe milion 40, basi inamchukua miaka kulipa hiyo pesa na hata akitaka kujichomoa hawezi.
It's OK kwani wanakuwa wamewekeza si tu pesa na muda bali mpaka kum brand msanii, hapo msanii kabla ya kulalamika ajiulize alikuwa kabla hajasainiwa na nini kilimfanya asi hustle peke yake yake mpaka atahitaji msaada wa label.

Na rahisi msanii kupiga kelele akishakuwa big name na kusahau wakati yuko vumbini anashindwa kufurukuta alivyokuwa anatamani kuwa signed kwenye label.

Angalia mfano wa Mbosso alivyowaacha mbali madogo wenzie aliokuwa nao Yamoto kisa tu ana buck up ya label.
 
$260m

Ina maana beyonce na jayZ wanasubiri

Tunashukuru kwa chai ya tangawizi na limao!!
 
inawewzekana alikuwa na maana ya ZIM DOLLARS ulimi ukatenguka akataja marekani
 
Back
Top Bottom