Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

😂😂😂 Hii kamba hii kamba kwamba jamaa ana almost Tsh trillion 400+
 
Namkubali huyu Mwamba ila day moja ntakutana nae nimpe mavalue zaidi azidi kusonga mbele zaidi
 
Anazungumzia streams au Liquid money? uyu jamaa muongo alete Facts&Figures ..otherwise ni chai ya moto kabisa.
 
hata tajiri namba Moja duniani Jeff bezos hana hiyo hela
 
Jamaa pia ni mtu ambaye anapenda label yao itrend kwa gharama yoyote hivyo yuko tayari aseme lolote ili wasafi ipate airtime
 
Ingekua mambo mepesi hivi kina bill gates wangefunga ofisi zao na kuingia studio kurekodi nyimbo.
Wangefunga ofisi?! Nadhani hujazisoma vizuri hizo takwimu, ambazo kimsingi zinakaribiana na ukweli!! Views 1M unalipwa around $4000 Billgate anaanzaje kufunga ofisi wakati ni pesa ndogo sana hiyo?!

Usisahau, ni nyimbo chache sana zinazofikisha Views 1 Billion ambapo ndipo utalipwa $ 4 Million!!
 
Wakuu hakika Salam SK kakosea,namtetea kwa nguvu zote.dola bilioni 230 sio kabisa kakosea vibaya sana.alafu na watangazaji wetu nao ni utopolo tu.
 
Wangefunga ofisi? Nadhani hujazisoma vizuri hizo takwimu, ambazo kimsingi zinakaribiana na ukweli!! Views 1M unalipwa around $4000 Billgate anaanzaje kufunga ofisi wakati ni pesa ndogo sana hiyo?

Usisahau, ni nyimbo chache sana zinazofikisha Views 1 Billion ambapo ndipo utalipwa $ 4 Million!!
Chief nachomaanisha kama views zingeingiza pesa nyingi hivyo kwa rayvan kama alivyosema huyo meneja basi maisha yangekua mepesi hadi matajiri wa ulimwengu wangeacha kazi zao na wao waimbe watafute pesa kwenye views.
 
Back
Top Bottom