sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Sio hawana shida hawajui ku-brand wachezaji wao.Wamekwambia wanashida nayo hao watu wa simba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hawana shida hawajui ku-brand wachezaji wao.Wamekwambia wanashida nayo hao watu wa simba?
wa yanga au simba?Wengi, ukitaji majina mtafute.
Ivyo yaanChildish
Huyo Neymar kipaji kinambeba jombaa, kuna wachezaji wangapi wana mionekano mizuri ila sio maarufu na mkwanja kama Neymar??Unaelewa maana ya branding?
Kwa hiyo kwa uelewa wako branding inafanyika kwa wanamuziki tu?
Nakuelewesha kwa kifupi, mchezaji kama Neymar analipwa mshahara mkubwa lakini brand yake nje ya uwanja imempa utajiri mkubwa kupitia endorsements za Puma, Redbull na Beats by Dre.
Branding kwa mchezaji inafanyika ndani ya uwanja na nje ya uwanja ndio maana unaona baadhi ya wachezaji siku wanapigania kuwa na social media power sababu wameshastuka kuna pesa nyingi sana nje ya uwanja.
Mayele alifanikiwa sana kujibrand ndani ya uwanja kwa style yake ya ushangiliaji lakini nje ya uwanja hakuwa na impact kibishara.
Anachosema Sallam ni wachezaji na managers wao kufikiria namna ya kuzipata pesa za makampuni makubwa zipo nyingi sana zinahitaji watu smart kuzipata.
Naona kuna vitu vinakuchanganya bado. Talent Vs Branding.Huyo Neymar kipaji kinambeba jombaa, kuna wachezaji wangapi wana mionekano mizuri ila sio maarufu na mkwanja kama Neymar??
Kipaji kipaji kipaji, cheza vizuri watu watakuona, utaongelewa utapata madili mengi nje ya uwanja.
Vini Jr, Son, Greelish sasa hivi wanaitangaza Pepsi unadhani ni kwanini?? Kwamba managers wao wako njema saaana kwenye branding??
Ni uwezo wao ndani ya uwanja mkuu.
Ndio maana nikakwambia uwezo wako ndani ya pitch utakubeba kuinua brand yako. Sio janjajanja kama wanamuziki wanavyofanya, angalia kina harmorapa wamepata umaarufu kimazabe na deals wanapata tu...
Ila mchezaji mpira hubebwi na vituko au viroja nje ya uwanja, pitch itakubeba na utaonekana kutokea hapo.
Kibongobongo sheria zinawabana, NBC na wadhamini wa timu husika wana vipengele vigumu kwa wachezaji kua brand ambassadors wa kampuni nyingine na sio kua managers wa wachezaji au timu ndio miyeyusho.
Kwenye mpira talent kwanza then branding baadae kufuatana na kiwango chako...Naona kuna vitu vinakuchanganya bado. Talent Vs Branding.
Mimi nimejitahidi kukuelewesha lakini naona haijawa rahisi labda anaweza kutokea mtu akarahisisha maelezo yangu ukaelewa.