Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

Salma Kikwete ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Oystrbay Primary, Mbunge huko Mtwara na pia Mmiliki. wa WAMA -NGO ya Kitajiri:

Wenza ni :
1. Mama Maria Nyerere.
2. Siti Mwinyi.
3 Anna Mkapa.
4. Salma Kikwete
5. Janeth Magufuli
Naunga mkono hoja
Huyu Mama Super Sana
Msikilize hapa

View: https://youtu.be/-UXoc_m0ZKo?si=wDKW5lNYBlXH1sV8
View: https://youtu.be/2TPWGMc9Wh8?si=mgWZbmfj1wlhrCU1
View: https://youtu.be/iQRndfSdiHE?si=BBfwvbf49QEq0Vij
View: https://youtu.be/UBMGVaYrxSQ?si=_8R4POUECeiOjil4P
 
Watanzania kama wanataka nchi hii ikae sawa na iondokane na sheria hizi za kipuuzi 2025 waweke serikali nyingine na sio hii ya CCM.
Nawahakikishia mfano Chadema imeingia madarakani hata kama kuna watu wanajipenda humo lakini hawawezi kuruhusu ULAFI NA DHARAU kwa walipa kodi kiasi hiki.
Tuwape hiyo miaka mitano, kisha wakishindwa kuonyesha njia next election 2030 tunawapiga chini na kuweka wengine.
Sasa sisi tunalalamika tuu, CCM wanakuja wanaiba kura tumetulia tuu kama mazombie eti tunamuachia Mungu!
Mungu hapendi watu mafala wasiojua kujipigania wenyewe
 
Kuna watu wanapigania haki na binadamu.

Hapa kuna haki gani kwa Watanzania ambao hawana umeme, maji, hospitali, elimu, barabara, shida mlo mmoja kwa siku.

Wengine wanachukua kodi za maskini nawanalipwa bilioni mbili kwa mwaka ukiacha VX, walinzi, kujengewa nyumba nk.

Haki ipo wapi kwa Watanzania milioni sitini?
 
Hao wastaafu wote wawe na ukomo wa kuishi.
Napendekeza vipindi viwili vya miaka mitano mitano, zaidi ya hapo ni hasara kwa Taifa wakiendelea kuishi.
 
Hebu tuache huko, tupo Geita na Mwana mfalme anasikiliza kero za Wananchi na kuzitatua.
# Makonda, PM2025
 
Mh Jaji Mfawidhi , big up kwa thread hii muhimu, very informative!

Pungufu moja tu kwenye hili bandiko lako: haujaweka citation ya Sheria/Muswada husika unaozungumzia, umetaja kifungu tu.

Full citation ya sheria/Muswada husika itasaidia audience yako kufanya self reference kwa urahisi.

Stay blessed madam jaji. 😎

-Kaveli-
 
Naweza kuweka ila pdf watu wavivu kufungua, Naweka pdf mods waiweke kama picha.
Asante sana.
 
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi... Unaweza kuthibitisha wenza wa marais wanaishi maisha magumu kuliko wenza wengine wa kitanzania? Kwa nini wenza wa wafanyakazi wengine na wao wasipate stahili ulizoorodhesha hapo juu au wote siyo sawasawa?
 
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi... Unaweza kuthibitisha wenza wa marais wanaishi maisha magumu kuliko wenza wengine wa kitanzania? Kwa nini wenza wa wafanyakazi wengine na wao wasipate stahili ulizoorodhesha hapo juu au wote siyo sawasawa?
Ulisikiliza hotuba ya huyo aliyepeleka pendekezo Bungeni?
Huwa ni mfuatiliaji wa Bunge tukufu la JMT au muda wote upo na earphone unasikiliza amapiano?
 
Maombi makubwa kwa mwenyezi Mungu yawe atupe maisha yasiyo na maradhi ili kufaidi atupacho kiwe kidogo au kikubwa miyowe tu ya kutaka mipesa mipesa tu ya walipa kodi maskini haiko sahihi

Maskini Wako vizuri tu kiafya huishi kwa kula mihogo tu na kahela hakazidi elfu mbili kwa siku wao na familia Mungu kawajalia afya njema na vimihogo vyao ambavyo wakipanga hata chini kuuza hukimbizwa na mgambo wa jiji ili walipe ushuru na kodi zitunze mafao ya wastaafu na wake zao akina Salma Kikwete nk
Yote maisha wajilimbikize tu hata wakitaka walipwe sawa na Raisi Aliyeko madarakani
 
hongera kwa kutumwa na mke wa raisi mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…