Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

Salma Kikwete alaaniwe kwa kuwa mwanamke mroho,mbinafsi na mwenye roho mbaya,alaaniwe yeye na uzao wake wote
 
Kifafanuacho wafu mbele ya Mungu, si cheo kikubwa, si daraja , si sifa
matendo mema yataufungua mlango wa mbingu.

ukija duniani unatafuta , unatumia, unaviacha
Mungu hapa ndipo alicheza hasa, huondoki na chochotee
 
Super? sababu amekupa interview sio, ni sawa pia unavyomsifia Makamba sababu wanakupa interview.

Unalipwa kiasi gani kutetea huu ujinga? Wewe ni objective, serious journalist?
Mkuu ruaharuaha , she is super for the contents, umesikiliza contents au umeishia kukodolea shavu dodo na ile baby face?.

Mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na yeyote, uandishi na utangazaji naufanya bure kabisa just for the love of it!.

P
 
Kifafanuacho wafu mbele ya Mungu, si cheo kikubwa, si daraja , si sifa
matendo mema yataufungua mlango wa mbingu.

ukija duniani unatafuta , unatumia, unaviacha
Mungu hapa ndipo alicheza hasa, huondoki na chochotee
Sahihi vingine hata hutavifaidi .mtu awaye yeyote hata apewe bilioni kwa mwezi mifisadi mingi na mikwapua pesa za wanyonge au za umma au kuonea wanyonge kwa rushwa nk au kula kodi za walalahoi inaunwa kuanzia visukari na migonjwa kibao na haiwezi kula chakula kitamu chenye sukari,chumvi au mafuta ,nyama nzuri red meat nk Mwenyezi Mungu kawavizia kawatenda kitu kibaya na mamilioni na mabilioni yao chakula tu chenye chumvi,mafuta au sukari hakipandi wakati lofa anaweza bugia chumvi au sukari kavu bila kuunga mboga yuko fresh tu au chakula aweza kula chenye mafuta kibao na yuko fresh tu

Mungu kawapiga marufuku kula vitamu na mabilioni yao wanakula chukuchuku na miradhi kibao juu Hiyo mipesa hata hawafaidi

Lofa na elfu 3 yake kwa siku anafaidi afya safi,chumvi ruksa,sukari ruksa ,mafuta ruksa ,red meat ruksa nk

Mungu fundi Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 

Hahaha, Shavu tena! Pascal jikite kwenye hii topic ya mleta mada Jaji mfawidhi. Usikwepe swali maswali ya wadau.

Contents mmezungumzia mambo mengi mengine hadi kuhusu uhusiano wao. Sisi hayatuhusu.

Maoni yako ni yapi kuhusu hii topic? Jikite kwenye muswada wake.
 
Hahaha, Shavu tena! Nazungumzia hii topic ya mleta mada Jaji mfawidhi.

Contents mmezungumzia mambo mengi mengine hadi kuhusu uhusiano wao. Sisi hayatuhusu.

Maoni yako ni yapi kuhusu hii topic? Jikite kwenye muswada wake.
Sahihi ulichosema

Maoni yake atoe Pascal Mayala kwenye hoja iliyopo
 
Mama Salma kaupiga mwingi. Anastahili pongezi kwa kuwapigania wanyonge. Wabunge wa aina hii ndio wanatakiwa wawe wengi kule mjengoni ili kuharakisha maendeleo ya wananchi. Safi sana
 
Hongera Salma Kikwete bado watoto wenu waongezwe humooo.....umewasahau....low IQ sana na milelee
Mungu hataniwi hata Siku moja na sio mtani wa yeyote duniani na hatarqjii kuwa mtani wa yeyote kodi za wanyonge ziheshimiwe

Sio kisa tu mtu ana mamlaka anatakodi zote ziende kwake na familia yake

Mungu ana tabia ya upole lakini pia ni mkali na mkorofi kwa wakorofi waonea kodi za wanyonge kisa tu wana position juu
 
Hastahili pongezi yoyote uongozi kwa Tanzania imegeuka ajira yenye kipato kinono.

Licha ya yeye kuwa mbunge na atapata kiinua mgongo cha ubunge , bado miradi na biashara zingine nyingi za pembeni bado anadai mafao.

Wake wa hao marais wamekua n mifuko mingi na miradi mingi ambayo 'accountability ' ya fedha za mifuko hiyo hakuna anayehoji.

Ila sishangai asilimia kubwa ya wanaowaongoza ni wajinga ndio maana maonyesho ya kupanda trekta, punda na ngamia yanachukua kurasa za mbele huku nchin ikiwa kwenye lindi zito la umasikini.
 
Hakika. Tunawajibika kupambania haki.

Kitu kingine, kwa wenye wake wawili kama mwinyi na ghalibu bilal sijui wake wote wawili watalipwa!
Ndio, wake wanatambuliwa wanne, kwa wenye imani ya Kiislamu, kwa wakristu ni mke mmoja kama una suria huyo utamhusumia kwa fedha za posho za safari.
 
Kuna siku Raisi Mama Samia aliwahi fokea Watendaji kuwa mihela yote mnaiba mtaenda nayo peponi?

Haya hiyo mifao yote umiza walipa kodi aliyopigania Mama Kikwete kuanzia yeye na wengine wataenda nayo peponi? Mihela kibao hiyo loo .
 
Tag Salima Babu Seya ......atakujibuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…