Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

Sokoine alikuwa na wake wanne wote wataugawana mshahara au kila mmoja atapewa kivyake,
 
Hapa tunawatunza, mwinyi hadija siti hussain mariam na yule binti mkubwa, is that fair?

Ikatokea tukapata rais mswati akaoa wake ishirini je?
 
Inatakiwa tuwe na sheria kama Zambia. Rais mstaafu hatakiwi kabisa kuwepo kwenye siasa. Akitaka kuendelea na siasa basi ulinzi huondolewa pamoja na stahiki zake zote ikiwemo kinga ya kutoshtakiwa. Anakuwa mwananchi wa kawaida
 
Vipi kuhusu wenza wa wastaafu hawa ,Mkuu wa majeshi, mkuu wa Usalama wa Taifa, Mkuua Police,Mkuu wa mageriza, Mkuu wa Takukuru nao wenza wao wana nufaikaje?
 
Kuna mzee mmoja ni mwanajeshi mstaafu aliwahi kusema hii nchi akibahatika kuuawa Jakaya Kikwete basi ndio mwisho wa fitna. Kikwete ndio master plan wa madudu yote hayo
 
Ni juzi 2, tume
Ni juzi tu, kafa mama 1 huko Tnga kw kukosa 150,000 wkt alipoenda kujifungua na ukitembea vjjn utaona majanga ya wagonjwa wasio na fedha kw ajli ya afya zao! Halaf wtu wako bize wanatunga nymbo za kuwapamba! Katiba inaxema hii ni nchi ya kijamaa na demokrasia Enzi za ujamaa tlizoea kskia "kupungza pengo kat ya wenye nacho na wasio nacho", sasa wanaongeza bila kubadli katiba na hawataki mabadliko ya katiba! Tungojee kusikia mafao ya ma RC, DC, DED, wajukuu
...loh!
 
To a patriot like me,
This is wasteful, hopeless, and actually a foolishness.
 
Ma RC< DC na wengineo wanamafao makubwa sana>
ALLY HAppy yule UVCCMaliwika kipindi cha Shujaa kwa kutukana wazee na wapinzani na kuzawadiawa ukuu wa mkoa Iringaamestafu na sasa ana ana biashara kubwa kubwa DAr, Appartments, Mashamba makubwa huko Iringa, Fuso za mizigo na FEdha nyingi kanunua hisa kwenye moja ya benki inayotumia nembo ya kijani.

#Siasa Chafu inalipa.
 
Mimi naamini Kilio cha maskini hakifiki popote, kuna wabunge huwasilisha hoja mpaka wanalia na wala haizfanywi kazi, huyu bibi kwenye clip kaongea kwa upole tu, tena kama ushauri agizo likatoka hapo hapo na sheria ikatungwa apewe mafao maana maisha yake ni magumu sana, aliachishwa kazi ya ualimu ambapo alikuwa na mshahra wa laki 4 sasa anataka mafao.
 
Nimekupa
Nimekupata vyema nikiwa hapa Chimati Majita nikiitafuta zahanati iliyopo umbali wa 57km na kuna muuguzi 1 tu sasa sijui km nitamkuta ama la na km nikimkuta nina imani msululu wa hapo hautapungua 2km.
 
Watu hao ni matajiri lakini bado wanaongezewa pesa Dah.
Mbona kama mtoa hoja hapo alikuwa anasema maiha yao ni magumu kwakuwa wameachishwa kazi?
Au mshahara wa Rais huwa ni wa kwake haudumii mke na wanawe?
 
Hatuna priorities za maendeleo, tubaki hivyo hivyo. Viongozi wanajifikiriawenyewe tu, je na wafanyakazi wengine hawastahili marupurupu kama hayo? Au walikua wanafanya Kenya!!!!
 
Hatuna priorities za maendeleo, tubaki hivyo hivyo. Viongozi wanajifikiriawenyewe tu, je na wafanyakazi wengine hawastahili marupurupu kama hayo? Au walikua wanafanya Kenya!!!!
Haya maswali mbunge wako hakuuliza wakati wa huu mswada, aligonga meza means anakubaliana na kila kitu:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…