Salma Kikwete apongezwe, amesaidia Wenza maskini wa Wastaafu. Historia itamkumbuka

HAKUNA MKE WA RAIS ANAYEISHI MAISHA MABAYA HATA MMOJA FAMILIA NZIMA WAKO NJEMA HAPOO UMEPIGWA
 
Kwa
Kwa tabia za huyo mama bado atagombea ubunge kwa sababu hakuna alichokua anakosa hata baada ya mumewe kustaafu,uongozi anaupenda sana. Kumbuka mumewe alipokua Rais,alikua anasafiri sana mikoani na kuandaliwa msafara,mama Maria Nyerere hakuwahi kufanya hivyo,Mwinyi hakuwahi wala wa Mkapa na hata wa JPm hawezi fanya hivyo
 
Nimemtafuta Naibu Waziri Mkuu stahiki zake sijaziona au atafikiriwa?
 
Nimemtafuta Naibu Waziri Mkuu stahiki zake sijaziona au atafikiriwa?
Bado mgeni na mswada ulikuwa ushasoma, hiki cheo ni cha muda na hakipo kikatiba, kitakuja kuondolewa 2025 ACT wakichukua nchi.
 
Alaaniwe salma kikwete kwa roho mbaya na ubinafsi uliokithiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…