Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

The wives enjoy the benefit that husband carries. The reason why the wife need to go in retirement with president is this..she gets to harm the reputation of the retired president.
 
Hakuna bunge awamu hii..

Watanzania tuna jopo la wanaccm kwenye ukumbi wa bunge.

Tuliachiwa urithi huu kwa miaka 5 na serikali dhalimu.

Watanzania hawana budi kulikataa genge hii linalonufaika na kodi za wananchi ilhali hawakuwapigia kura za kuwatosha kuweza kuwa wawakilishi wao.
 
Watoto watakuwa na akili ya Baba yao ya kupenda kubembea!
 
Sema kuoa Vibinti shida sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nape Riz January na Mwigulu nao ni watanzania kama ulivyo wewe....hujawazidi haki ya uraia.....
Haki ya Urai kila mtu anayo mkuu ila kuna watu wengine unawaona matendo yao yanakutia mashaka kama kweli ni Raia wa Nchi hii hasa hao uliohusishwa nao
 
Namhurumia Kikwete kuoa mwanamke huyo Salma atakuwa anajuta kumfahamu
Inaelekea Huyu mwanamke kamzidi nguvu mjomba ama sivyo kwa akili ya kawaida tu sioni sababu ya kuwa mbunge badala ya kukaa nyumbani na kumliwaza mumewe uzeeni!!
Kitendo hiki kinaashiria kuwa huko nyumbani kwao hakuna salama!
 
Huyu mama nilikuwa namuheshimu lakin kumbe ni mtu wa hovyo sana. Yaani haoni hata masikini waliojaa huko Lindi anakowakilisha hawana dawa wala maji safi. Puuuaa! Puuuaa!
Wakati wa kampeni hukumuona mama aliwapigia magoti wapiga KURA!? We unadhani yale magoti alikua anawaomba wamtume akawatumikie wao?
 
 
Hua najiuliza mtu umekua Rais au mme wake ni Rais kweli miaka yote hio hajapata cha kufanya connection alizopata zote hazitoshi hadi anataka serikali imsaidie ndio yale maswala ya mzee MWINYI kupewa Gari
ni ubinafsi tu, ni kama familia ya yule raisi wa Equatorial Guinea
 
 
Inasikitisha sana aisee
 
 
Kweli nimeamiini msemo wa kiswahili usemao; aliye nacho huongezewa na asiye nacho hunyang'anywa hata kidogo alicho nacho!!!!
Nchi yetu bado watu wake ni masikini wa kutupwa, viongozi acheni kujilimbikizia...saidieni kutatua kero za wananchi
 
Huwa tunateseka na ile hulka ya kutotosheka mpaka ile siku ya ahadi huwa inatufikia ghafla na ndipo tunapokumbuka kwamba kumbe tuliyokuwa tukihubiriwa ni ya kweli !?!??
πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„
Lo! Laiti ningejua !!!! πŸ˜±πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ

Watasema wivu tu huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
Hatar sana πŸ˜…πŸ€£
 
Kweli nimeamiini msemo wa kiswahili usemao; aliye nacho huongezewa na asiye nacho hunyang'anywa hata kidogo alicho nacho!!!!
Nchi yetu bado watu wake ni masikini wa kutupwa, viongozi acheni kujilimbikizia...saidieni kutatua kero za wananchi
Mali huwa hazitoshagi kwa mwenye nazo mpaka ile siku ya Ahadi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…