THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Hua najiuliza mtu umekua Rais au mme wake ni Rais kweli miaka yote hio hajapata cha kufanya connection alizopata zote hazitoshi hadi anataka serikali imsaidie ndio yale maswala ya mzee MWINYI kupewa GariWakatiwe tu kipande cha nchi chenye madini,mbuga na bahari walamba asali.
Mkuu unataka kusema nini?😂😂Hicho kitu hakiwezekani, tunaweza pata rais akamuoa dada yake ili apate stahiki au rais akamroga mke mkubwa ili arithi stahiki. Ni kama ilivyo kwa makamu wa rais kwa sasa ktk katiba, ni rahisi sana makamu wa rais kumuua rais ili awe rais kama ilivyotokea kwa Dkt Magufuli
Inafikia hatua unajiuliza hivi hawa Viongozi ni Watanzania kweli au ni Wakimbizi wamekuja kuvuna utajiri tu?Bado hajatosheka tu!
Labda ni kiswahili changu sio kizuri; Kusema “Mimi nilikuwa ni mke wa rais wa awamu ya nne”. Mimi ninaitafsiri kama alikuwa ni mke wa rais wa awamu ya nne lakini alipotoa hiyo statement wameshaachana!Kwani Mme wake Bado ni Rais?
Ni hilo jinga tu,watu wengi wa kusini niwajuwao mimi wako smart sana tu.Kuna Uzi humu wa member mmoja aliandika kuhusu watu wa kusini kuwa wanalaana nachelea kusema member Yule alikuwa mbele ya muda Kama RObert Morgan
Hela haijawahi toshaBado hajatosheka tu!
Labda ukute alikua anamlenga mama Janet asaidiwe huenda Serikali imemtupa Ila nawaza tu but sidhan kama ilikua sahihi?Mimi na mama Janet wangu tu.
Yeye akaaa!
kajituliza zake
Hawa wote hawakwenda bungeni kihalali, kwa nguvu ya wananchi, hivyo hawezi kukumbuka wananchi. Na haya ndiyo matokeo ya kuwa na kiongozi mkuu wa nchi mwenye upeo mfupi. Wabunge wanatetea matumbo yao na wengine kufikia hatua ya ku-suggest wananchi wenye nchi wapelekewe vifaru vya kijeshi viwashughulikie.Aisee ...! hicho ndicho wananchi wa Mchinga walimtuma akawasemee Bungeni?
Huko Mchinga kuna Changamoto kibao yeye hazioni.?
Hata kama, ila huyu amezidi uroho.Hela haijawahi tosha
Aisee mawazo yako yako fyongo kweli kweli. Ndiyo maana CCM inazidi kudharau wananchi kwani wengi hawajitambui. Huyu mama inasemekana (sina uhakika) alileta vi-deal vya kuingiza vitu anavyodai ni vya NGO yake kiholela wakati wa mwendazake lakini akawakiwa kweli kweli na mwendazake kwa kutaka asilipe kodi na wakakosana pakubwa. Naona sasa ule msemo wa paka akitoka.....unajihidhirisha.Labda ukute alikua anamlenga mama Janet asaidiwe huenda Serikali imemtupa Ila nawaza tu but sidhan kama ilikua sahihi?
Kuna wakati unaweza kufikiri labda kule bungeni kumejaa 🐖 badala ya watu.Inafikia hatua unajiuliza hivi hawa Viongozi ni Watanzania kweli au ni Wakimbizi wamekuja kuvuna utajiri tu?
Na alie waroga ashakufa kabisa•Maccm yamerogwa walah!