Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Hopeless kabisa huyu mama.
Mumewe Kikwete kamsaidia ubunge kwa mwezi anapata milioni 12 bado analeta kelele mafao mwisho milioni 200 angebaki shule ya msingi ukifundisha mshahara huo angeupata?

Kikwete naye akome umri wake alitakiwa kutafuta mwanamke wa makamu wanayeendanda sio baby Salma ona sasa baby haridhiki na hizo milioni 12 kwa mwezi nje ya posho za vikao vya bunge yale yale ya Reginald mengi na bi mdogo
 
Asingepazwa kuwepo pale yaani mume awe rais na ufisad wote ule lkn Bado nae anakuja kukinga mshahara Kuna famili na watu wa huko nao wanapazwa kuwa viongozi na kupata kipato kutokana na Kaz hyo yey Bado Yuko anaganda bungeni African Nan ametuloga
Mbona wake wa viongozi wa nchi nyingine wake zao hawana tamaa kama yeye ya Kula pesa za bure au katumwa na Mama Maria Nyerere na Anna mkapa na Mama Janeth Magufuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua najiuliza mtu umekua Rais au mme wake ni Rais kweli miaka yote hio hajapata cha kufanya connection alizopata zote hazitoshi hadi anataka serikali imsaidie ndio yale maswala ya mzee MWINYI kupewa Gari
Yani kusafiri kote kwenda kwa mabeberu hakujifunza kutoka mke wa Clinton, Obama, Bush inamaana safari zote alizoenda zilukuwa ni kushangaa magorofa na hakujenga urafiki na taasisi binafsi za mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale Mbona wake wa viongozi wa nchi nyingine wake zao hawana tamaa kama yeye ya Kula pesa za bure au katumwa na Mama Maria Nyerere na Anna mkapa na Mama Janeth Magufuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wanatunzwa na Serikali hawana shida huyu kuna wakati wa kampeni kumkampenia ubunge salma Kikwete mzee Kikwete alisema kuna vijimaneno wanasema ohh Kikwete kamuacha Salma akacheka niko naye namfanyia kampeni

Salma hayo aliyoongea naona kama kweli kaachika anaongea kwa hasira za kuachika!!

Swala kama hilo haikutakiwa kuongea bungeni simu ya Mama Samia anayo na hata angeweza ongea naye direct nyumbani wakisukana nywele na mama Samia na angempa jibu
Kuongelea bungeni kuna kitu

Kikwete unalo
 
Ninaichukulia hivi lugha aliyoitumia...Kama mbunge:
Ana
Uhuru wa kuchangia na kuleta pendekezo lelote
Hatahivyo,
Kufunguliwa nchi...

Ana uhuru wa kupeleka pendekezo lelote

Ana ufunguo wa mzinga wa Asali.
...na kwa mbinu 'zinazosemekana' kuwepo au la
Ananing'iniza mzinga wa asali hewani-ulambe upite 2025-au uwekwe kwenye kabrasha la magenge kwa kutoafikiana na pendekezo hilo!

CCM oyeee!
CCM ina wenyewe!

Najiuliza walioweza kuanzisha NGO bila ya kuwa 'wake za maraisi wastaafu' waliwezaje?

Hio NGO ni ya aina gani? ikoje awezeshwe yeye kuanzisha na nguvu ya bunge/sheria?
Ukiwiwa sana unaweza kusema hebu nianzishe Ngo (mashirika yasiyo ya kiserikali) lakini hata ukianzisha hakuna mtu anayeku suport ni wewe mwenyewe uhangaike ili kuhakikisha unapata raslimali ili uweze kuendesha Ngo,”amesema.
Duh yaani ni vigumu kuamini kuwa hakuna wa kusapoti-au vijembe hivyo kwa Mstaafu- yaani kastaafu mpaka kumsapoti.
 
Genge la mizoga ya msoga linazidi kutafuna tu!

Huyu nae anataka kiinua mgongo?

Hajaridhika tu jinsi basha wake alivyopora mapesa ya nchi kwa miaka kumi?

Na bado ubunge tukampa, na mwanae muuza madawa nae tukamtunuku ubunge wa bure!

Hashibi tu!?
Mama anatakiwa amshukuru Mungu kwa alichokipata kuna watz wametumikia taifa hili kwa weledi leo hii wana maisha magumu hata matibabu shida.Akumbuke huwezi kupambana na mali za ulimwengu hii vyote ni vya Mungu.wazungu wametuiibia Africa na wanajichotea hadi leo lakini rasilimali bado zimejaa na bado zingine zinagunduliwa haya maisha tunapita.vasco Dagama na wezake familia zao wala hazipo kwenye list za matajiri duniani pamoja na kupora mali zote Africa
 
Labda ni kiswahili changu sio kizuri; Kusema “Mimi nilikuwa ni mke wa rais wa awamu ya nne”. Mimi ninaitafsiri kama alikuwa ni mke wa rais wa awamu ya nne lakini alipotoa hiyo statement wameshaachana!
Hilo sakata nililisikia mapema sana mwaka huu, kumbe ni kweli [emoji848] daaah...ila shetani huyu jamani [emoji34]
 
For sure, katika wanawake wanaojua kuoptimize Hypergamy Salima Kikwete ni namba moja TZ, kama jina la Kikwete kalitumia vizuri, imagine aliona potential ya mzee baba toka yupo shule. Hakunaga Salma fala.
 
Back
Top Bottom